Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aagiza Takukuru, CAG wachunguze IPTL

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow iliyokuwa imefunguliwa ndani ya Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

CAG, Takukuru, TRA: Fedha za Escrow za umma

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesisitiza kuwa fedha zilizochukuliwa kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni ni za umma na waliohusika katika sakata hilo wachukuliwe hatua kali na za kinidhamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo Takukuru, TRA, CAG ‘kikaangoni’ Kamati ya Zitto

>Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo inaanza kuwahoji watu mbalimbali waliohusika katika uchunguzi au tuhuma za kashfa ya IPTL kuhusu uchotaji wa Sh306 bilioni katika akaunti ya Escrow iliyoko katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Mtanzania

CAG kuifuata IPTL Oman

Zitto Kabwe

Zitto Kabwe

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema taarifa alizopewa na Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), hadi sasa ni muhusika mmoja pekee ambaye hajahojiwa juu ya uchotwaji wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Amesema kwa sasa kazi itakayofanywa na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ni kufanya mahojiano na mmoja wa wahusika, Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Rugemalira wa IPTL sasa ‘mikononi’ mwa Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema imemhoji na inaendelea kumchunguza mmiliki mwenza wa zamani wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), James Rugemalira.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL yamfikisha Mnyika kwa CAG

KASHFA ya uchotajwa wa sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow kwenda kwa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) iliyonunua hisa za kampuni ya kufua umeme ya...

 

10 years ago

TheCitizen

CAG wants more time to wind up IPTL audit

>The National Audit Office yesterday said it needs more time to complete investigations into the controversial sale of Independent Power Tanzania (IPTL) that led to the questionable withdrawal of Sh201 billion from an escrow account at the Bank of Tanzania (BoT).

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL majanga, vigogo wa Takukuru kutua kwa Zitto

KASHFA kuchota fedha kwenye Akaunti Maalum ya Escrow zaidi ya sh. bilioni 200, zilizohifadhiwa kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limeibua tafrani mpya Bungeni baada ya baadhi ya wabunge kuhoji...

 

10 years ago

Habarileo

Ofisi ya CAG yaendelea kukusanya vielelezo IPTL

OFISI ya Taifa ya Ukaguzi (NAO) imesema imeshindwa kukamilisha ukaguzi maalumu unaofanywa dhidi ya kampuni ya kufua umeme ya IPTL kwa wakati kutokana na kazi hiyo kuhitaji ukusanyaji wa kina wa vielelezo vinavyojitosheleza.

 

11 years ago

Mwananchi

CAG Utouh achunguza Sh200 bilioni za IPTL

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) atatumia siku 45 kuchunguza kashfa ya ufisadi wa zaidi ya Sh200 bilioni zilizolipwa kwa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL kutoka katika Akaunti ya Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani