Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ofisi ya CAG yaendelea kukusanya vielelezo IPTL

OFISI ya Taifa ya Ukaguzi (NAO) imesema imeshindwa kukamilisha ukaguzi maalumu unaofanywa dhidi ya kampuni ya kufua umeme ya IPTL kwa wakati kutokana na kazi hiyo kuhitaji ukusanyaji wa kina wa vielelezo vinavyojitosheleza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

CAG kuifuata IPTL Oman

Zitto Kabwe

Zitto Kabwe

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema taarifa alizopewa na Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), hadi sasa ni muhusika mmoja pekee ambaye hajahojiwa juu ya uchotwaji wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Amesema kwa sasa kazi itakayofanywa na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ni kufanya mahojiano na mmoja wa wahusika, Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

TheCitizen

CAG wants more time to wind up IPTL audit

>The National Audit Office yesterday said it needs more time to complete investigations into the controversial sale of Independent Power Tanzania (IPTL) that led to the questionable withdrawal of Sh201 billion from an escrow account at the Bank of Tanzania (BoT).

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL yamfikisha Mnyika kwa CAG

KASHFA ya uchotajwa wa sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow kwenda kwa Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) iliyonunua hisa za kampuni ya kufua umeme ya...

 

11 years ago

Mwananchi

CAG Utouh achunguza Sh200 bilioni za IPTL

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) atatumia siku 45 kuchunguza kashfa ya ufisadi wa zaidi ya Sh200 bilioni zilizolipwa kwa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL kutoka katika Akaunti ya Escrow.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aagiza Takukuru, CAG wachunguze IPTL

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow iliyokuwa imefunguliwa ndani ya Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

 

11 years ago

TheCitizen

CAG, Bunge committee to meet over $122m IPTL deal

The $122million (Sh201 billion) Escrow account saga has taken a new twist after the Public Account Committee (PAC) summoned the Controller and Auditor General (CAG) to appear before the Parliamentary watchdog tomorrow to discuss how the multibillion shillings deal was transacted.

 

11 years ago

TheCitizen

13 key queries CAG will probe in IPTL sale saga

he stage is finally set for the investigation into the controversial sale of Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) following the release of 13 key audit queries as handed to the Controller and Auditor General (CAG).

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WAKUTANA KUJADILI MIKAKATI YA OFISI YA CAG


 Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ,Jasper Mero akizungumza katika mkutano wa Wadau wa Kujadili mpango mkakati wa  miaka mitano wa ofisi ya CAG uliofanyika leo jijini Dar es Salaam Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ,Jasper Mero  (mwenye tai katikat)akiwa katika picha ya pamoja na wadau kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa ofisi ya CAG uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Na Chalila Kibuda,Globu ya Jami. Imeelezwa kuwa kufikia mlaengo...

 

10 years ago

Mwananchi

CAG ataka uhuru wa ofisi yake uimarishwe

>Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovic Utouh amewataka wafanyakazi wa ofisi hiyo kuhakikisha Katiba ya nchi inaimarisha na kutunza uhuru utendaji wa ofisi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani