Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msuya akumbuka machungu ya kauli yake

msuyaElias Msuya na Elizabeth Hombo
WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, amekumbusha machungu ya kauli yake ya zamani ya “kila Mtanzania ataubeba msalaba wake”, huku akiwataka Watanzania kuacha kuwa walalamikaji kwa kila jambo.
Msuya aliyewahi kuwa waziri mkuu mara mbili (Novemba 7, 1980 hadi Februari 1983 na Desemba 7, 1994 hadi Novemba 28, 1995), alitoa kauli hiyo bungeni akiwa waziri wa fedha mwaka 1989.
Akizungumza jana katika uzinduzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere lililoandaliwa na Kituo cha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PROF.ANNA TIBAIJUKA AAGA BUNGENI... AKUMBUKA MACHUNGU YA ESCROW

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MBUNGE wa Muleba Kusini mkoani Kagera Profesa Anna Tibaijuka ametangaza rasmi kuwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2020 hatagombea tena nafasi ya ubunge na anakwenda kupumzika
huku akitumia nafasi hiyo kuelezea namna alivyoumizwa na sakata la fedha za Escrow.

Profesa Tibaijuka ametangaza uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge kwenye jimbo hilo leo Aprili 3 mwaka 2020 ambapo ametumia nafasi hiyo kutoa shukrani kwa wananchi wa Muleba kwa namna ambavyo wamempa...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda asema kauli yake ya wapigeni ilimaanisha amani

>Neno “piga” lina maana ya “fanya kitendo cha kukutanisha vitu kwa nguvu, fumua, ezeka, zaba, shambulia, chapa na tandika” kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Oxford, lakini kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda neno “wapigeni” lilimaanisha “kuendelea kulinda amani”.

 

11 years ago

Michuzi

GIGGS AWAKERA BWAWA LA MAINI KWA KAULI YAKE YA MWAKA 2011

Kocha wa muda wa Manchester United Ryan Giggs (kushoto) aliyechukua mikoba ya David Moyes (kulia) aliyetimuliwa leo anawatafuta ubaya mahasimu wao Liverpool kwa kuropoka kuwa wao wako katika kipindi kigumu kimchezo lakini kamwe hawatoporomoka na kuadhirika kama iliyokuwa kwa Liverpool baada ya kuanza kufanya vibaya miaka 24 iliyopita. Giggs amenukuliwa akisema kuwa japo Man U walisubiri miaka 26 kabla ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza kwa mara ya kwanza mwaka 1993, kocha wao mstaafu...

 

10 years ago

Vijimambo

HAPO SASA MPAKA KIELEWEKE NGOMA UWANJANI KILA MTU NA KAULI MBIU YAKE KICHWANI

Mbio za urais 2015 kama kujiandikisha elimu ya shule ya msingi vile safari hii, ni kwanini imekuwa hivi unafikiri hawa wote wana uchungu na nchi yao au ni kwa ajili ya maslahi binafsi ndani ya viunga vywa Ikulu.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATUA DODOMA KUREJESHA FOMU YA URAIS,KAULI MBIU YAKE YAENDELEA KUWIKA

Mgombea Urais ndani ya CCM Mh:Mwigulu Nchemba akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu Luhavi  fomu zilizokamilika idadi ya wadhamini kama Utaratibu wa Chama ulivyoagiza mapema hii leo Mjini Dodoma.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi waliofika kumsindikiza wakati wa kurejesha fomu ya Urais CCM-DodomaBaada ya safari ya ndefu ya Kutafuta wadhamini Mikoani,Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mke wake Bi.Neema Mwigulu akiwasili Makao makuu ya CCM Mjini Dodoma kwaajili ya Kurejesha fomu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kauli mbiu yake ya ‘Live It, Love It’ kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismas

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyanja, akizungumza na waandishi wa habari wakati akimkaribisha Meneja Mkuu wa Tigo kuzungumza na wanahabari.

2

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Diego Gutierrez  (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa  chapa mpya yenye kauli mbinu ya ‘Live it, love it’ itakayoimarisha nafasi ya mbunifu anayeongoza kwa ubunifu wa kidigitali nchini. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

Meneja...

 

9 years ago

MillardAyo

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea  Guus Hiddink ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009 kama kocha wa muda wa klabu hiyo,  Guus Hiddink ambaye ndio ameichukua Chelsea mikononi mwa Jose Mourinho ili aiokoe isiporomoke zaidi, ameanza kwa kuwatuliza mashabiki […]

The post Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake … appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Zari ndani ya Dar, athibitisha kwa mara ya kwanza kwa kauli yake kuwa mpenzi wa Diamond

Katika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani