Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF.ANNA TIBAIJUKA AAGA BUNGENI... AKUMBUKA MACHUNGU YA ESCROW

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MBUNGE wa Muleba Kusini mkoani Kagera Profesa Anna Tibaijuka ametangaza rasmi kuwa katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu wa 2020 hatagombea tena nafasi ya ubunge na anakwenda kupumzika
huku akitumia nafasi hiyo kuelezea namna alivyoumizwa na sakata la fedha za Escrow.

Profesa Tibaijuka ametangaza uamuzi wake wa kutogombea tena ubunge kwenye jimbo hilo leo Aprili 3 mwaka 2020 ambapo ametumia nafasi hiyo kutoa shukrani kwa wananchi wa Muleba kwa namna ambavyo wamempa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kumradhi Prof Anna Tibaijuka

Katika toleo la Alhamisi Januari 9, 2014 gazeti hili lilichapisha habari kuhusu matokeo ya ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika Shamba la Mpunga la Kapunga, wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

 

10 years ago

GPL

5 years ago

CCM Blog

PROF. ANNA TIBAIJUKA APONGEZA KUPUNGUA KWA MIMBA WANAFUNZI KAGERA

Sehemu ya matembezi ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM wilayani Muleba Athuman Kahara akizungumza na wananchi
Mbunge wa Muleba kusini mkoani Kagera Prof Anna Tibaijuka akizungumza na wananchi wake

Na Lydia Lugakila Kagera:-

Mbunge wa Muleba kusini mkoani Kagera Prof Anna Tibaijuka kwa kushirikiana na kamati ya siasa ya wilaya hiyo wamepongeza juhudi za Mwalimu Catherine ambaye ni mkuu wa shule ya Sekondari Rukindo  iliyopo wilayani  humo kwa kusimamia vema...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MHESHIMIWA PROF. ANNA TIBAIJUKA BORA UJIUZULU KULINDA HESHIMA YAKO NA CHAMA

Mheshimiwa Bi.Anna Tibaijuka (Mb)
Na Projectus Ishengoma LugumalilaMheshimiwa Bi.Anna Tibaijuka (Mb) Waziri wa Ardhi ni moja wa viongozi wachache sana wenye ujasiri na kiongozi muwazi katika sakata zima la Tageta ESCROW,kwani kiongozi huyu amekili wazi kuwa amepokea fedha Billion 1.6 kutoka kwa mmiliki
wa kampuni ya VIP Engineering Bw.James Rugimalira,tena si fedha ndogo.

Si jambo jema kumuhukumu Mheshimiwa Anna Tibaijuka,lakini sio vibaya kumshauri kwa kuwa amekuwa muwazi katika sakata...

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu wa nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli ateta na Prof. Anna Tibaijuka

1

Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.Kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania.

2

Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akizungumza na Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka (Kushoto) wakati alipotembelea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Mwanasheria wa Prof. Anna Tibaijuka aiadabisha ‘Mahakama’ ya Maadili ya Viongozi wa Umma

DSC_0415

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kuvuliwa wadhifa huo kufuatia kashfa ya Escrow, Prof. Anna Tibaijuka.

*Awabana kwa vifungu vya sheria na kanuni zaidi ya masaa 3

Mwandishi Andrew Chale wa modewjiblog yupo kwenye eneo la tukio akiendelea  kufuatilia kikaango hicho kilichovuta  hisia za wengi…Endelea kufuatilia modewjiblog kwa picha na stori kamili zitawajia hivi punde.

 

10 years ago

Vijimambo

Mgawo Escrow wamchanganya Prof. Tibaijuka

Juhudi za Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, kujisafisha dhidi ya kashfa ya kunufaika na mgao wa zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizochotwa katika akaunti ya Tegeta Escrow, zimechukua sura mpya na sasa anaitumia shule ya wasichana ya Barbro Johansso, bodi yake, wanafunzi na wazazi kujinasua.

Prof. Tibaijuka ambaye aligawiwa Sh. bilioni 1.6 katika fedha hizo, tangu juzi ulianza mkakati wa kutoa matangazo katika magazeti na jana uliitishwa mkutano wa waandishi wa...

 

10 years ago

TheCitizen

Prof. Tibaijuka refuses to resign over Escrow scam

 The Minister of Lands, Housing and Human Settlements Professor Anna Tibaijuka yesterday said that resigning is not a fashion, thus she will not resign until when the government proves that she is guilty.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani