Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Katibu wa nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli ateta na Prof. Anna Tibaijuka

1

Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.Kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania.

2

Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akizungumza na Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka (Kushoto) wakati alipotembelea...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA USHELISHELI

Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake wa Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure(kulia) alipotebela Wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akizungumza na Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka (Kushoto) wakati alipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es...

 

10 years ago

Vijimambo

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje akutana na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (mwenye tai) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Luigi Scotto alipotembelea Wizarani leo.Balozi Gamaha akisalimiana na Kansela Raffaele De Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia ambaye alifuatana na Balozi Scotto walipotembelea Wizara ya Mambo ya Nje leo. Balozi wa Italia (katikati) akimtambulisha Kansela Benedictis kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia kwa Kaimu...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUPOKEA TAARIFA YA MRADI WA UJENZI MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DODOMA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Aliyesimama) akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Wajumbe hao wamepokea Taarifa ya Mradi wa Ujenzi Makao Makuu ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Jijini Dodoma leo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Katikati), akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Salum Rehani (Wa kwanza kulia)...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGANA RASMI NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WASHINGTON DC.

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje Balozi Liberata Mulamula aagana rasmi na wafanyakazi wake wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Baadhi ya wafanyakazi wakisikiliza kwa makini mawaidha kutoka kwa Balozi Liberata Mulamula pichani kuanzia kushoto ni Afisa Swahiba Mndeme akifuatiwa na Yacob Kinyemi wa dawati la Diaspora na mwisho ni Edward Taji msimazi wa kitengo cha visa.
 Mhe .Balozi Liberata Mulamula alipata fursa ya kumpongeza na kumpa cheti John Anbiah kama mfanyakazi bora wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumradhi Prof Anna Tibaijuka

Katika toleo la Alhamisi Januari 9, 2014 gazeti hili lilichapisha habari kuhusu matokeo ya ziara ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika Shamba la Mpunga la Kapunga, wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

 

10 years ago

GPL

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA MAMBO YA NJE PROF. KABUDI ATAKA NCHI ZA SADC KUIMARISHA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi amezitaka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuimarisha ushirikiano na umoja wakati huu wa kuenea kwa janga la  Virusi vya Corona huku bidhaa na huduma muhimu zinazovuka mipaka baina ya nchi na zikiendelea kutolewa.
Prof. Kabudi amesema hayo jijini Dar es salaam wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa njia ya Video katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI WA CHINA AMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youquig alipomtembelea Wizarani kwa mazungumzo ya kudumisha ushirikiano wa nchi hizi mbili.Mkalimani wa Balozi wa China Bi.Wang Fang akisalimiana na Katibu Mkuu
Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youqing akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula.Katibu Mkuu, Balozi Mulamula...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Katibu Mkuu wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo kabla ya kufungua mkutano wa siku moja wa baraza hilo unaofanyika katika Ukumbi wa Jeshi la Magereza, Ukonga, jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto meza kuu ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, John Mngodo, kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Obeid Mbaga. Wapili kulia ni Katibu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani