GIGGS AWAKERA BWAWA LA MAINI KWA KAULI YAKE YA MWAKA 2011
![](http://2.bp.blogspot.com/-oxEiVEV3Vfk/U1a2yscOJgI/AAAAAAAFcWg/mGB_25DwzJ0/s72-c/e488d6a950b5e0191434b5b3713e2612.jpg)
Kocha wa muda wa Manchester United Ryan Giggs (kushoto) aliyechukua mikoba ya David Moyes (kulia) aliyetimuliwa leo anawatafuta ubaya mahasimu wao Liverpool kwa kuropoka kuwa wao wako katika kipindi kigumu kimchezo lakini kamwe hawatoporomoka na kuadhirika kama iliyokuwa kwa Liverpool baada ya kuanza kufanya vibaya miaka 24 iliyopita.
Giggs amenukuliwa akisema kuwa japo Man U walisubiri miaka 26 kabla ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza kwa mara ya kwanza mwaka 1993, kocha wao mstaafu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Dec
LICHA YA KUTOKUWA NA MWENENDO MZURI KWENYE TIMU YAKE YA BWAWA LA MAINI KOCHA ASEMA
Balotelli haondoki ng'o, asema kocha
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/05/141205180304_mario_balotelli_racismo_640x360_pa_nocredit.jpg)
Mkufunzi wa Liverpool Brendan Rodgers amesema kuwa hana mipango ya kumuuza mshambuliaji wa kilabu hiyo Mario Baloteli wakati wa dirisha la uhamisho la mwezi Januari.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24 na ambaye amefunga mabao mawili katika mechi 15 amehusishwa na uhamisho wa Inter Milan kulingana na gazeti dello Sport.
''Hicho si kitu nilichofikiria kufanya,kusema ukweli'', alisema Rodgers.
''Tumekuwa na mechi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CmosTNC2w0U/VMFuJ7UCF_I/AAAAAAAG_G8/w9RFYZ0CjPI/s72-c/IMG_0108.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XeKSO0_9DQE/Uwv86ixA3KI/AAAAAAAFPWg/RG44xX0uHk0/s72-c/IMG_2700.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OVXYiHfXq4k/U0qun1Er_6I/AAAAAAAFad0/sWxPTDvhwXs/s72-c/7c9e7fbf3ebdf4bd7e935b084612b7e0.jpg)
bwawa la maini oyeeee!
![](http://2.bp.blogspot.com/-OVXYiHfXq4k/U0qun1Er_6I/AAAAAAAFad0/sWxPTDvhwXs/s1600/7c9e7fbf3ebdf4bd7e935b084612b7e0.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-g4AV1FFqT9Q/U0quoLn4hEI/AAAAAAAFad8/fMsmMsPSpr0/s1600/c049ea677093fc1c4e0e66147afd0cae.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tXuYRiW_H5Y/U0quoI1FVLI/AAAAAAAFad4/3rET31Umqkk/s1600/d981366a7dfe6e9462afbe9e37fbd1ec.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ve9aunmhzho/U0quo-nTYVI/AAAAAAAFaeM/VAumel9jcs4/s1600/unnamed+(13).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-KD4JANAnjog/UyXFkcPtCCI/AAAAAAAFUAs/T01poqeCWkY/s72-c/6906__7332__gerrard263_5325bd1fe5694524587035+(1).jpg)
Bwawa la maini oyeeeee!
![](http://2.bp.blogspot.com/-KD4JANAnjog/UyXFkcPtCCI/AAAAAAAFUAs/T01poqeCWkY/s1600/6906__7332__gerrard263_5325bd1fe5694524587035+(1).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vjwKxDibZYM/U2mHKku3aPI/AAAAAAAFgBU/1cIutU9u1wc/s72-c/4ce86efa01dab3d07aa6da37a5404f34.jpg)
HAFLA YA KUZAWADIA WACHEZAJI WA BWAWA LA MAINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-vjwKxDibZYM/U2mHKku3aPI/AAAAAAAFgBU/1cIutU9u1wc/s1600/4ce86efa01dab3d07aa6da37a5404f34.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LkHiI6I5VSk/U2mHKfKGSEI/AAAAAAAFgBQ/IKnccySWYMs/s1600/IMG_6442.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PGfslSsA-V8/U2mHKiadu0I/AAAAAAAFgBY/H1frpsWDW00/s1600/IMG_6445.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lWyJsqoRyPY/U2mHLcK3EGI/AAAAAAAFgBg/oKP8E_wc1zI/s1600/IMG_6447.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-X3gdKI1KzNE/VI2R9lPMkwI/AAAAAAAG3Kk/_E0QEIuF_Mg/s72-c/IMG_2700.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EDeuIA4Sre8/UySxBcBSzzI/AAAAAAAFT5Y/BP88Po8hoB0/s72-c/unnamed+(17).jpg)
MKUTANO WA MASWALA YA ULINZI MTANDAO WAKAMILIKA KWA KUPIGILIA MSUMARI KAULI MBIU “MWAKA 2014 NI MWAKA WA VITENDO”
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Israel Habimana: Raia wa Rwanda aliyeuza mali yake kutengeneza bwawa la umeme kwa wanakijiji