Israel Habimana: Raia wa Rwanda aliyeuza mali yake kutengeneza bwawa la umeme kwa wanakijiji
Israel Habimana aliuza mali yake kutengeneza umeme unaotumika na familia 200 licha ya kwamba hakusoma
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziGIGGS AWAKERA BWAWA LA MAINI KWA KAULI YAKE YA MWAKA 2011
10 years ago
Habarileo18 Sep
Wanakijiji wacheza muziki kushangilia umeme
WAKAZI wa kijiji cha Mbegasera wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wameshindwa kuzuia furaha yao na kuamua kusakata muziki baada ya umeme kufika kijijini hapo na wananchi kuunganishwa kwenye nyumba zao, ambazo walilazimika kuezua sehemu ya nyasi na kuezeka kwa bati ili kufungiwa nishati hiyo.
9 years ago
MichuziNEWALA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA KUTOSHA KWA RAIA NA MALI ZAO SIKU YA UCHAGUZI
Akizungumza na Habarileo kwa njia ya simu, Mkuu wa Wilaya ya Newala, Christopher Magala amesema wakazi wa Newala husususani katika majimbo ya uchaguzi ya Newala Mjini na Newala vijini wasiwe na hofu juu ya amani siku ya kupiga kura.
“Nitumie nafasi hii kuwatoa hofu wananchi na kuwahakikishia usalama wenu na...
10 years ago
MichuziPROFESA MWANDOSYA ATEMBELEA BWAWA LA KUZALISHA UMEME LA MEROWE, SUDAN
10 years ago
GPLPROFESA MWANDOSYA ATEMBELEA BWAWA LA KUZALISHA UMEME LA MEROWE, SUDAN
10 years ago
Dewji Blog20 Oct
UNESCO bado kuridhia ujenzi bwawa la Stiegler’s Gorge kufua umeme
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limesema hakuna makubaliano yaliyofikiwa kati yake na mamlaka husika nchini Tanzania za kuwezeshwa kujengwa kwa bwawa la kufua umeme la Stiegler’s Gorge .
Ofisi za Shirika hilo zilizopo jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki wametoa taarifa ya kukanusha maelezo yaliyoandikwa na gazeti la The Guardian (ref:http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=72984) kwamba yapo maafikiano kuhusu ujenzi wa bwawa hilo.
Eneo la...
10 years ago
BBCSwahili08 Mar
Raia wa Israel wampinga Netanyahu
10 years ago
BBCSwahili04 May
Raia wa Israel kutoka Ethiopia walalama
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Udukuzi wampeleka jela raia wa Israel