NEWALA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA KUTOSHA KWA RAIA NA MALI ZAO SIKU YA UCHAGUZI
Na Father Kidevu BlogWANANCHI wilayayani Newala wamehakikishiwa usalama wa kutosha siku ya kupiga kura na kutakiwa kujitokeza kupiga kura na kuwachagua viongozi wao bila wasiwasi wowote.
Akizungumza na Habarileo kwa njia ya simu, Mkuu wa Wilaya ya Newala, Christopher Magala amesema wakazi wa Newala husususani katika majimbo ya uchaguzi ya Newala Mjini na Newala vijini wasiwe na hofu juu ya amani siku ya kupiga kura.
“Nitumie nafasi hii kuwatoa hofu wananchi na kuwahakikishia usalama wenu na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Dec
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu — Vuai Ally Vuai
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya uwezeshaji wa...
10 years ago
MichuziMatukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu - Vuai Ally Vuai
Matukio ya kutishia amani ya nchi na usalama wa raia yatapungua kama mabalozi wa nyumba kumi watafanya kazi zao kwa uaminifu kwani wao ni viongozi wa kwanza walio karibu na wananchi hivyo basi wanatakiwa kuwafahamu wakazi wa maeneo yao.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Vuai Ally Vuai wakati akifungua semina ya siku moja ya uwezeshaji wa chama hicho kwa mabalozi (viongozi wa mashina) wa wilaya ya Lindi mjini.
Vuai...
10 years ago
MichuziUsalama wa kutosha Tamasha la Pasaka
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5. Kushoto ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama.
NA...
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Serikali ilivyouza wananchi na mali zao kwa mwekezaji
11 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAWAHAKIKISHIA ULINZI NA USALAMA WANAKALENGA SIKU YA UCHAGUZI ,YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA CHOPA .!
Ndugu waandishi wa habari , kwa niaba ya askari Polisi wa Mkoa wa Iringa, nitumie fursa hii...
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Israel Habimana: Raia wa Rwanda aliyeuza mali yake kutengeneza bwawa la umeme kwa wanakijiji
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Raia wa S Leone kutotoka nje kwa siku 3
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Raia wa Nepal walala nje kwa siku ya pili
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!
baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko
Na.Jumbe Ismailly.
[Ikungi-SINGIDA] Mkuu wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...