Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ilivyouza wananchi na mali zao kwa mwekezaji

>Hivi karibuni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alifika katika Kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali na kutamka wazi kwamba mgogoro uliodumu karibu miaka 10 umesababishwa na makosa ya  watendaji wa Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mwekezaji arejesha hekta 1,870 kwa wananchi

Serikali imefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka kumi kati ya Wakazi wa Kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali mkoani Mbeya na Mwekezaji wa Shamba la Mpunga la Kapunga kampuni ya Export Trading ya jijini Dar es Salaam.

Mgogoro huo umemalizika mara baada ya kufanikiwa kumshawishi Mwekezaji huyo kurudisha hekta 1,870 za kijiji hicho zilizoingizwa kimakosa kwenye miliki ya kampuni hiyo mwaka 2005.

Mwaka 2005 Mwekezaji huyo aliomba kununua Hekta 5,500 za shamba la Mpunga la...

 

11 years ago

Mwananchi

Wamvamia mwekezaji, waharibu mali

>Zaidi ya wananchi 200 wamevamia shamba la mwekezaji mwenye asili ya Asia, Pradeep Lodhia na kufanya uharibifu mkubwa ikiwamo kuvunja nyumba za wafanyakazi na kuharibu mali mbalimbali zilizokuwa shambani kwa madai kuwa shamba hilo ni mali yao.

 

9 years ago

Michuzi

NEWALA WAHAKIKISHIWA USALAMA WA KUTOSHA KWA RAIA NA MALI ZAO SIKU YA UCHAGUZI

Na Father Kidevu BlogWANANCHI wilayayani Newala wamehakikishiwa usalama wa kutosha siku ya kupiga kura na kutakiwa kujitokeza kupiga kura na kuwachagua viongozi wao bila wasiwasi wowote.
Akizungumza na Habarileo kwa njia ya simu, Mkuu wa Wilaya ya Newala, Christopher Magala amesema wakazi wa Newala husususani katika majimbo ya uchaguzi ya Newala Mjini na Newala vijini wasiwe na hofu juu ya amani siku ya kupiga kura.
“Nitumie nafasi hii kuwatoa hofu wananchi na kuwahakikishia usalama wenu na...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Waandishi wa Habari, leo kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)IFUATAYO NI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA ILIVYOWASILISHWA LEO NA KINANA  Jana tarehe 07/12/2015 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya kikao chake cha kawaida mjini Dar es salaam kwa siku moja. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Michuzi

KUBENEA AWATEMBELEA WANANCHI WAKE KUWASHUKURU KWA KUMCHAGUA NA KUJUA CHANGAMOTO ZAO

 Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Said Kubenea akiongea na wananchi Stendi ya Mabasi ya Ubungo Dar es Salaam leo, kuwashukuru kwa kumchagua na kujua changamoto zao mbalimbali. Mbunge huyo jana alitembelea Soko la Ndizi la Mabibo, Soko la Mabibo, Kituo cha Mabasi cha Mawasiliano  na kumpa pole ya sh. milioni 1.1 Diwani wa Kata ya Manzese, Ramadhani Kwangaya ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Mus'ab kilicho chomwa moto na kuunguza magodoro 30. Kubenea akizungumza na waandishi wa habari na wananchi katika...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI ARUMERU WAVAMIA SHAMBA LA MWEKEZAJI LA KARAMU

Baaadhi ya mabango yaliyokutwa katika Karamu lililopo kijiji cha Nndatu wilayani Arumeru baada ya wananchi kuvamia shamaba hilo usiku wa manane na kuamua kuotesha migomba.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwa ameongozana na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kutembelea eneo hilola Shamba akiungana mkono na hatua hiyo ya wananchi.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Nkoaranga na Poli wameingia katika Shamba la Karamu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwekezaji Kapunga Rice anatukodisha mashamba-Wananchi

>Hivi karibuni wananchi wilayani Mbarali walilalamikia kitendo cha kukodishwa mashamba ya kulima mpunga kwa masharti magumu yanayotolewa na Mwekezaji wa Kampuni ya Kapunga Rice Project Limited.

 

10 years ago

Michuzi

MEYA MANISPAA YA MOSHI AWASEMEA WATENDAJI WANAO HUJUMU MALI ZA UMMA KWA WANANCHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi na Mwenyekiti wa Chadema Manispaa ya Moshi Jafary Michael akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael katika viwanja vya Manyema ,Meya Jafary alikuwa akizungumzia vitendo vya Uporaji wa Viwanja vya Umma pamoja na tatizo la wafanya biashara ndogo ndogo  maarufu kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani