Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwekezaji arejesha hekta 1,870 kwa wananchi

Serikali imefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka kumi kati ya Wakazi wa Kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali mkoani Mbeya na Mwekezaji wa Shamba la Mpunga la Kapunga kampuni ya Export Trading ya jijini Dar es Salaam.

Mgogoro huo umemalizika mara baada ya kufanikiwa kumshawishi Mwekezaji huyo kurudisha hekta 1,870 za kijiji hicho zilizoingizwa kimakosa kwenye miliki ya kampuni hiyo mwaka 2005.

Mwaka 2005 Mwekezaji huyo aliomba kununua Hekta 5,500 za shamba la Mpunga la...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Magufuli afuta hati ya hekta 1,870 Kapunga

Rais John Magufuli amemaliza mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Kapunga na mwekezaji wa Kapunga Rice Project Limited na sasa hekta 1,780 zitakuwa mali ya wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ilivyouza wananchi na mali zao kwa mwekezaji

>Hivi karibuni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka alifika katika Kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali na kutamka wazi kwamba mgogoro uliodumu karibu miaka 10 umesababishwa na makosa ya  watendaji wa Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwekezaji Kapunga Rice anatukodisha mashamba-Wananchi

>Hivi karibuni wananchi wilayani Mbarali walilalamikia kitendo cha kukodishwa mashamba ya kulima mpunga kwa masharti magumu yanayotolewa na Mwekezaji wa Kampuni ya Kapunga Rice Project Limited.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI ARUMERU WAVAMIA SHAMBA LA MWEKEZAJI LA KARAMU

Baaadhi ya mabango yaliyokutwa katika Karamu lililopo kijiji cha Nndatu wilayani Arumeru baada ya wananchi kuvamia shamaba hilo usiku wa manane na kuamua kuotesha migomba.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwa ameongozana na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kutembelea eneo hilola Shamba akiungana mkono na hatua hiyo ya wananchi.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Nkoaranga na Poli wameingia katika Shamba la Karamu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi Arumeru wavamia shamba la mwekezaji la Karamu Estate

IMG-20150326-WA0035

IMG-20150326-WA0034

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa ameongozana na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo kutembelea eneo hilo la Shamba akiungana mkono na hatua hiyo ya wananchi.

IMG-20150326-WA0045

Baadhi ya mabango yaliyokutwa katika Karamu lililopo kijiji cha Nndatu wilayani Arumeru baada ya wananchi kuvamia shamba hilo usiku wa manane na kuamua kuotesha migomba.

Baadhi ya wananchi katika kijiji cha ARUMERU, Nkoaranga na Poli wameingia katika Shamba la Karamu (Karamu Estate) usiku wa manane na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yatenga hekta 1,363 kwa aajili ya ujenzi wa viwanda Tanga

370 Na. Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maeneo ya EPZ pamoja na Shirika la Maendeleo la TAifa (NDC) imeweka matayarisho na utaratibu wa kuvutia wawekezaji eneo la Tanga. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene (pichani) alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Omari Nundu, Mbunge wa Tanga Mjini. “tayari Mamlaka ya EPZ imetenga hekta 1,363 katika eneo la Neema mkoani Tanga kwaajili ya ujenzi wa viwanda na uthamini wa mali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Arejesha tuzo kwa mauaji ya Gaza

Raia mmoja wa Uholanzi aliyepewa tuzo na Israel kwa kumficha mtoto mmoja wa kiyahudi arudisha medali

 

10 years ago

BBCSwahili

Drogba arejesha alichojaaliwa kwa jamii.

Mshambuliaji wa timu ya Chelsea F.C. Didier Drogba amezindua hospitali ya kwanza,ya aina yake kati ya tano alizo ahidi kuzijenga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura arejesha fomu kwa mbwembwe Simba

MGOMBEA urais wa Klabu ya Simba, Michael Wambura, jana alirejesha fomu kwa mbwembwe makao makuu ya klabu hiyo Msimbazi jijini Dar es Salaam, huku kundi la wachezaji wa zamani likijitokeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani