Magufuli afuta hati ya hekta 1,870 Kapunga
Rais John Magufuli amemaliza mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Kapunga na mwekezaji wa Kapunga Rice Project Limited na sasa hekta 1,780 zitakuwa mali ya wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Jan
Mwekezaji arejesha hekta 1,870 kwa wananchi
Serikali imefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka kumi kati ya Wakazi wa Kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali mkoani Mbeya na Mwekezaji wa Shamba la Mpunga la Kapunga kampuni ya Export Trading ya jijini Dar es Salaam.
Mgogoro huo umemalizika mara baada ya kufanikiwa kumshawishi Mwekezaji huyo kurudisha hekta 1,870 za kijiji hicho zilizoingizwa kimakosa kwenye miliki ya kampuni hiyo mwaka 2005.
Mwaka 2005 Mwekezaji huyo aliomba kununua Hekta 5,500 za shamba la Mpunga la...
9 years ago
Habarileo28 Sep
Magufuli aahidi kurejesha mashamba Kapunga
MGOMBEA Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi atakapochaguliwa kuwa rais, atarudisha sehemu ya mashamba ya Kapunga ya wilayani Mbarali katika mkoa wa Mbeya kwa wananchi.
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Mbarali wamtaka Rais Magufuli kulirejesha shamba la Kapunga
WANANCHI katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanasubiri kurudishwa kwa Shamba la Kapunga serika
Felix Mwakyembe
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Magufuli afuta sherehe za Uhuru
*Asema zitaadhimishwa kwa wananchi kufanya usafi
*Akerwa na kipindupindu, wasomi wazungumzia uamuzi huo.
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
RAIS Dk. John Magufuli, amefuta sherehe za Uhuru mwaka huu, na kusema Watanzania watasherehekea kwa kufanya usafi wa mazingira nchi nzima ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Agizo la Rais Magufuli, lilitangazwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipofanya ziara Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Ziara hiyo, ililenga...
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Magufuli afuta safari zote za nje ya nchi kuanzia leo
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
Magufuli akabidhiwa hati ya ushindi nafasi ya Urais
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Urais Rais Mteule wa Tanzania Dk.John Magufuli katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam jana. Kushoto ni Makamu wa Rais Mteule, Samia Hassan Suluhu.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu katika hafla hiyo.
Na Anitha Jonas na Beatrice Lyimo- MAELEZO.
Watanzania...
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Ajali za bodaboda zaua watu 870
10 years ago
TheCitizen01 Dec
870,000 fly Fastjet in two years