Wamvamia mwekezaji, waharibu mali
>Zaidi ya wananchi 200 wamevamia shamba la mwekezaji mwenye asili ya Asia, Pradeep Lodhia na kufanya uharibifu mkubwa ikiwamo kuvunja nyumba za wafanyakazi na kuharibu mali mbalimbali zilizokuwa shambani kwa madai kuwa shamba hilo ni mali yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Serikali ilivyouza wananchi na mali zao kwa mwekezaji
11 years ago
Habarileo04 Feb
Wanafunzi waharibu shule
WANAFUNZI wa shule ya msingi na sekondari ya St Anne Marie Academy ya Dar es Salaam, wamefanya vurugu zilizoambatana na uharibifu mkubwa wa mali ikiwamo kuvunja vioo vya magari, mabweni, madarasa na kompyuta, chanzo kikidaiwa kuwa ni hatua ya uongozi wa shule kuwapa walinzi mamlaka makubwa ya kuwaadhibu.
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Islamic State waharibu mji wa Nimrod
11 years ago
Habarileo16 May
Kweleakwelea waharibu hekari 300 za mazao
Zaidi ya hekari 300 za mashamba ya mpunga katika vijiji vya Wami Luhindo, Wami Dakawa na Sagayo wilayani Mvomero mkoani, zimeharibiwa na ndege waharibifu aina ya kweleakwelea.
10 years ago
Habarileo05 Apr
Abiria waharibu vifaa treni mpya
SIKU chache baada ya kuzinduliwa kwa treni mpya ya abiria (Deluxe), abiria wa awali kutumia usafiri huo kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, wamekosa ustaarabu na kufanya uharibifu katika baadhi ya mabehewa.
10 years ago
GPLMOTO WAHARIBU BWENI LA WANAWAKE MABIBO, DAR
11 years ago
Habarileo10 Jan
Abiria wa treni wamvamia RC
ZAIDI ya abiria 500 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam jana waliandamana hadi Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi wakitaka watafutiwe usafiri mbadala baada ya kukwama stesheni mbalimbali kwa zaidi ya siku saba.
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Mashabiki wamvamia Diamond Zanzibar
NA FESTO POLEA, ZANZIBAR
KATIKA hali isiyotarajiwa askari wanaolinda katika Tamasha la Sauti za Busara walijikuta wakifanya kazi ya ziada kutawanya idadi kubwa ya mashabiki wa msanii, Nassib Abdul (Diamond), baada ya kumvamia walipomuona katika eneo hilo akiwa na mpenzi wake, Zari.
Mashabiki hao walimvamia msanii huyo na mpenzi wake kwa lengo la kupiga naye picha na wengine wakitaka kumsalimu kwa kumkumbatia lakini kutokana na kila shabiki kutaka kupata nafasi hiyo kwa haraka wakajikuta...
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Walemavu wamvamia Meya Ilala
UMOJA wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (UWAWADA), wamevamia ofisi za Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwa madai ya kushindwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia maeneo ya kujenga vibanda...