Mashabiki wamvamia Diamond Zanzibar
NA FESTO POLEA, ZANZIBAR
KATIKA hali isiyotarajiwa askari wanaolinda katika Tamasha la Sauti za Busara walijikuta wakifanya kazi ya ziada kutawanya idadi kubwa ya mashabiki wa msanii, Nassib Abdul (Diamond), baada ya kumvamia walipomuona katika eneo hilo akiwa na mpenzi wake, Zari.
Mashabiki hao walimvamia msanii huyo na mpenzi wake kwa lengo la kupiga naye picha na wengine wakitaka kumsalimu kwa kumkumbatia lakini kutokana na kila shabiki kutaka kupata nafasi hiyo kwa haraka wakajikuta...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGG4O97GEDq*NrShM2zAAKQsWqYO5CvSQtv0fcNDenX-iHMNitJ0niH30L1epGbUqMfjO93hcKWKEy7bXyW5oTVb/shabiki.jpg?width=650)
Mashabiki wamvamia Okwi apoteza pumzi
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/diamond-pic-2.jpg)
DIAMOND AFIKISHA MASHABIKI MIL. 1 INSTAGRAM
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Sheddy Clever: Mashabiki wamemtosa Diamond
PRODYUZA wa mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseb Abdul ‘Diamond Platinum’, Sheddy Clever, amesema Watanzania ndio wamemuangusha msanii huyo katika harakati zake za kuwania tuzo za MTV MAMA....
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Mashabiki wamaliza ubishi wa Ney na Diamond
NA MWANDISHI WETU
MASHABIKI jijini Arusha walimaliza ubishi uliokuwepo kati ya wasanii wa kizazi kipya, Elibariki Emanuel ‘Ney wa Mitego’ na Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ waliokuwa wakibishana stejini kupitia wimbo wao wa ‘Mapenzi pesa ama Ujuzi’.
Tukio hilo lilitokea katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jumamosi iliyopita, wakati Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea urais.
Katika shoo yao hiyo iliyochengua mashabiki, Diamond alisimamia upande wa...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Mashabiki kiduchu Zanzibar