Mashabiki wamvamia Okwi apoteza pumzi
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi. Na Richard Bukos, Tabora MSHAMBULIAJI wa Yanga, Emmanuel Okwi, juzi Jumamosi alikuwa katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini hapa, hali iliyosababisha ashindwe kupumua vizuri.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Mashabiki wamvamia Diamond Zanzibar
NA FESTO POLEA, ZANZIBAR
KATIKA hali isiyotarajiwa askari wanaolinda katika Tamasha la Sauti za Busara walijikuta wakifanya kazi ya ziada kutawanya idadi kubwa ya mashabiki wa msanii, Nassib Abdul (Diamond), baada ya kumvamia walipomuona katika eneo hilo akiwa na mpenzi wake, Zari.
Mashabiki hao walimvamia msanii huyo na mpenzi wake kwa lengo la kupiga naye picha na wengine wakitaka kumsalimu kwa kumkumbatia lakini kutokana na kila shabiki kutaka kupata nafasi hiyo kwa haraka wakajikuta...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Loga awavutia pumzi Simba
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Dk. Magufuli awavutia pumzi wabadhirifu
*Awataka wezi wa fedha za wakulima waanze kutubu
Na Bakari Kimwanga, Sikonge
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewaonya watu wanaofanya uwakala wa kuwaibia wakulima wa tumbaku na kuwataka waanze kutubu kabla hajaingia Ikulu.
Amesema watu hao, wamekuwa wakifanyakazi ya kujinufaisha wao, huku wakulima wa zao hilo wakibaki masikini wa kutupwa.
Dk. Magufuli, alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana katika mikutano ya kampeni aliyoifanya katika wilaya za...
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Pumzi ya mwisho Lowassa, Membe
11 years ago
Habarileo10 Jan
Abiria wa treni wamvamia RC
ZAIDI ya abiria 500 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam jana waliandamana hadi Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi wakitaka watafutiwe usafiri mbadala baada ya kukwama stesheni mbalimbali kwa zaidi ya siku saba.
11 years ago
Habarileo10 Apr
Wananchi wamvamia mlinzi, wamjeruhi
MLINZI wa Tanzania Plantation, Hamis Michael (25) amejeruhiwa sehemu ya kichwani na kuumizwa kidole cha mkono cha mwisho kwa kukatwa na mapanga na wakazi wa kijiji cha Msitu wa Mbogo.
10 years ago
Habarileo10 Jan
Walimu wamvamia Mkurugenzi Dar
ZAIDI ya walimu 100 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Walemavu wamvamia Meya Ilala
UMOJA wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (UWAWADA), wamevamia ofisi za Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwa madai ya kushindwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia maeneo ya kujenga vibanda...
11 years ago
GPLWazungu wamvamia Mrundi wa Simba