Wazungu wamvamia Mrundi wa Simba
![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpH*N*3Pyle0kKvpZYXVlFTqMaDCOWBFzX4bGHyEWkMYOOEvEF0fjXPk*0lV0OBe*61PcU8vjfzUeb*f7Gt83TIf/WAZUNGU.gif?width=650)
Amissi Cedric. Na Mwandishi Wetu WAKATI Simba imeshaanza harakati za kumnasa Amissi Cedric ili ajiunge nayo msimu ujao, kuna taarifa timu za Ubelgiji na Ulaya Mashariki zimeanza mipango ya kumnasa. Cedric, raia wa Burundi, anayekipiga katika kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda, amekuwa kivutio kwa Simba tangu msimu uliopita na siku chache zilizopita ilifanya naye mazungumzo baada ya kuja nchi akiwa na timu yake ya taifa ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Hatima ya Mrundi wa Simba
10 years ago
Habarileo02 Sep
Mrundi akamatwa na milipuko
RAIA wa Burundi amekamatwa mkoani Morogoro akituhumiwa kukutwa na vifaa vya milipuko na vyombo vingine vya kufanyia uhalifu.
9 years ago
Habarileo15 Dec
Mrundi akutwa na kitambulisho cha kura
POLISI mkoani Kigoma imemkamata mkimbizi wa Burundi akiwa na kadi ya kupigia kura akijiandikisha kama raia wa Tanzania na kukutwa na kadi za vyama mbalimbali za kuomba kugombea ubunge katika majimbo tofauti nchini.
10 years ago
Habarileo13 Jun
Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta
RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.
11 years ago
Habarileo10 Jan
Abiria wa treni wamvamia RC
ZAIDI ya abiria 500 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam jana waliandamana hadi Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi wakitaka watafutiwe usafiri mbadala baada ya kukwama stesheni mbalimbali kwa zaidi ya siku saba.
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Mashabiki wamvamia Diamond Zanzibar
NA FESTO POLEA, ZANZIBAR
KATIKA hali isiyotarajiwa askari wanaolinda katika Tamasha la Sauti za Busara walijikuta wakifanya kazi ya ziada kutawanya idadi kubwa ya mashabiki wa msanii, Nassib Abdul (Diamond), baada ya kumvamia walipomuona katika eneo hilo akiwa na mpenzi wake, Zari.
Mashabiki hao walimvamia msanii huyo na mpenzi wake kwa lengo la kupiga naye picha na wengine wakitaka kumsalimu kwa kumkumbatia lakini kutokana na kila shabiki kutaka kupata nafasi hiyo kwa haraka wakajikuta...
11 years ago
Habarileo10 Apr
Wananchi wamvamia mlinzi, wamjeruhi
MLINZI wa Tanzania Plantation, Hamis Michael (25) amejeruhiwa sehemu ya kichwani na kuumizwa kidole cha mkono cha mwisho kwa kukatwa na mapanga na wakazi wa kijiji cha Msitu wa Mbogo.
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Wamvamia mwekezaji, waharibu mali
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Walemavu wamvamia Meya Ilala
UMOJA wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (UWAWADA), wamevamia ofisi za Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwa madai ya kushindwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia maeneo ya kujenga vibanda...