Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrundi akamatwa na milipuko

RAIA wa Burundi amekamatwa mkoani Morogoro akituhumiwa kukutwa na vifaa vya milipuko na vyombo vingine vya kufanyia uhalifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Hatima ya Mrundi wa Simba

Rais wa Simba, Evance Aveva amesema hatima ya usajili wa Mrundi, Kelvin Ndayisenga itajulikana leo baada ya majadiliano kuhusu kiwango cha fedha anachotaka.

 

11 years ago

GPL

Wazungu wamvamia Mrundi wa Simba

Amissi Cedric. Na Mwandishi Wetu
WAKATI Simba imeshaanza harakati za kumnasa Amissi Cedric ili ajiunge nayo msimu ujao, kuna taarifa timu za Ubelgiji na Ulaya Mashariki zimeanza mipango ya kumnasa. Cedric, raia wa Burundi, anayekipiga katika kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda, amekuwa kivutio kwa Simba tangu msimu uliopita na siku chache zilizopita ilifanya naye mazungumzo baada ya kuja nchi akiwa na timu yake ya taifa ya...

 

9 years ago

Habarileo

Mrundi akutwa na kitambulisho cha kura

POLISI mkoani Kigoma imemkamata mkimbizi wa Burundi akiwa na kadi ya kupigia kura akijiandikisha kama raia wa Tanzania na kukutwa na kadi za vyama mbalimbali za kuomba kugombea ubunge katika majimbo tofauti nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Mkenya, Mrundi jela kwa wizi wa gari, mafuta

RAIA wa Kenya na mwingine wa Burundi waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa gari na mafuta ya petroli wamehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja kila mmoja, huku Watanzania watatu wakiachiwa huru kwa kukosekana ushahidi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Milipuko yarindima Zanzibar

Milipuko minne imetokea katika maeneo tofauti mjini Zanzibar leo

 

10 years ago

Mtanzania

10 wakamatwa na milipuko msikitini

IMG-20150415-WA0015Na Ramadhan Libenanga, Morogoro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linawashikilia watu 10 waliokamatwa msikitini wakiwa na vifaa mbalimbali, ikiwamo milipuko 30, sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na bendera nyeusi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo lilitokea Aprili 14, mwaka huu saa 3.30 usiku katika Kitongoji cha Nyandero, Tarafa ya Kidadu wilayani Kilombero.
Kamanda Paul alisema watu hao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Milipuko yalenga makanisa Pakistan

Mabomu mawili yamelipuka yakilenga makanisa mawili yaliyokuwa yamejaa watu kwenye mji wa Lahore chini Pakistan

 

10 years ago

BBCSwahili

Milipuko yatokea jeshini Sudan

Kumetokea milipuko katika maeno ya jeshi nje ya mji mkuu wa Sudan, Khartoum.

 

9 years ago

BBCSwahili

Milipuko ya bomu yawaua 15 Nigeria

Milipuko miwili ya mabomu ambayo ilikumba maeneo ya viungani mwa mji mkuu wa Nigeria Abuja yamewaua watu 15 na kuwajeruhi wengi kulingana na maafisa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani