10 wakamatwa na milipuko msikitini
Na Ramadhan Libenanga, Morogoro
JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linawashikilia watu 10 waliokamatwa msikitini wakiwa na vifaa mbalimbali, ikiwamo milipuko 30, sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na bendera nyeusi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo lilitokea Aprili 14, mwaka huu saa 3.30 usiku katika Kitongoji cha Nyandero, Tarafa ya Kidadu wilayani Kilombero.
Kamanda Paul alisema watu hao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWATU 10 WAKAMATWA MSIKITINI WAKIWA NA MILIPUKO, SARE ZA JESHI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-u22LB1NxPb0/VS9UoWVMdPI/AAAAAAABLtA/dQetrLtB5tg/s1600/11152703_867991246613470_1520792993635882528_n.jpg)
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa na milipuko, sare za jeshi, bendera ya Al Shabaab
10 years ago
Habarileo16 Apr
Milipuko hatari yanaswa msikitini Morogoro
POLISI mkoani hapa imewatia mbaroni watu zaidi ya tisa wanaojihusisha na uhalifu wakiwa na milipuko hatari na zana za milipuko, wakiwa wamefichwa ndani ya Msikiti wa Suni kata ya Kidatu, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro.
10 years ago
MichuziWATU TISA WALIOHIFADHIWA MSIKITI WA SUNI WAKAMATWA NA MILIPUKO.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari ( hawaonekani pichani) milipuko hatari aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya msikiti wa Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
10 years ago
MichuziSABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...
10 years ago
BBCSwahili31 May
Nigeria:Watu 29 wauawa msikitini
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Watu 30 wauawa msikitini Nigeria
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Waumini watwangana makonde msikitini
WAUMINI wa Kiislamu wanaoswali katika Msikiti wa Mji wa Zamani uliopo Mtaa wa Mji Mwema, wilayani Mpanda, wamepigana makonde ndani ya msikiti katika suala la kuamua nani awe imamu wa...
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Waumini wauawa msikitini Nigeria