Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU TISA WALIOHIFADHIWA MSIKITI WA SUNI WAKAMATWA NA MILIPUKO.




Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari ( hawaonekani pichani) milipuko hatari  aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa  tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya  msikiti wa  Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATU 10 WAKAMATWA MSIKITINI WAKIWA NA MILIPUKO, SARE ZA JESHI.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, akiwaonesha waandishi wa habari ( hawaonekani pichani) milipuko hatari  aina ya ' Water explosives gel ' iliyokamatwa jana usiku kutoka kwa watuhumiwa  tisa waliokuwa wamehifadhiwa ndani ya  msikiti wa  Suni uliopo Tarafa ya Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa na milipuko, sare za jeshi, bendera ya Al Shabaab

Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayotumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini Somalia.

 

10 years ago

Mtanzania

10 wakamatwa na milipuko msikitini

IMG-20150415-WA0015Na Ramadhan Libenanga, Morogoro

JESHI la Polisi mkoani Morogoro, linawashikilia watu 10 waliokamatwa msikitini wakiwa na vifaa mbalimbali, ikiwamo milipuko 30, sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na bendera nyeusi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo lilitokea Aprili 14, mwaka huu saa 3.30 usiku katika Kitongoji cha Nyandero, Tarafa ya Kidadu wilayani Kilombero.
Kamanda Paul alisema watu hao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Milipuko yawaua watu 50 Nigeria

Zaidi ya watu 50 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya mabomu siku ya jumamosi kwenye mji wa Maiduguri

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wafariki katika milipuko Nigeria

Ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa milipuko miwili, imetokea katika mji wa Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno state,

 

10 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU 30 KATIKATI YA NIGERIA

Watu wasiopungua 30 wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea karibu na kituo cha basi katika mji wa Jos, ulioko katikati mwa Nigeria.  Walioshuhudia wanasema, bomu la kwanza lilitegwa kwenye kibanda cha kuuzia chakula na la pili karibu na mlango wa kuingilia katika soko la Termus kwenye mji huo. Duru za usalama za Nigeria bado hazijasema milipuko hiyo ya mabomu imesababishwa na kundi gani, lakini kundi la Boko...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 54 wauawa katika milipuko Nigeria

Watu zaidi ya 54 wameuawa na 90 kujeruhiwa kwenye milipuko mitatu ya mabomu katika mji wa Maiduguri, Nigeria.

 

9 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI

Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio. Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio. Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayo Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Milipuko ya mabomu yaua watu 20 Syria

Watu 20 wamefariki na wengine 40 kujeruhiwa kwenye milipuko miwili ya mabomu yaliyotegwa kwenye magari mjini Hassakeh, Syria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani