Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Milipuko ya mabomu yaua watu 20 Syria

Watu 20 wamefariki na wengine 40 kujeruhiwa kwenye milipuko miwili ya mabomu yaliyotegwa kwenye magari mjini Hassakeh, Syria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU ZAIDI YA 52 UTURUKI

Majeruhi wakiokolewa kutoka eneo la tukio. Hali ya sintofahamu ikitanda eneo la tukio. Hali ilivyokuwa baada ya mashambulizi hayo Waliojeruhiwa wakisaidiwa na ndugu na jamaa zao.…

 

10 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU 30 KATIKATI YA NIGERIA

Watu wasiopungua 30 wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea karibu na kituo cha basi katika mji wa Jos, ulioko katikati mwa Nigeria.  Walioshuhudia wanasema, bomu la kwanza lilitegwa kwenye kibanda cha kuuzia chakula na la pili karibu na mlango wa kuingilia katika soko la Termus kwenye mji huo. Duru za usalama za Nigeria bado hazijasema milipuko hiyo ya mabomu imesababishwa na kundi gani, lakini kundi la Boko...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mabomu yaua 12, yajeruhi watu 137




WATU 12 wameuawa na wengine 137 kujeruhiwa katika matukio tisa ya ulipuaji mabomu yaliyotokea katika mikoa ya Arusha, Morogoro, Lindi, Dar es Salaam, Mwanza na Zanzibar.
Aidha, watu 25 wamekamatwa katika tukio la ulipuaji bomu lililofanyika hivi karibuni katika eneo la darajani kisiwani Zanzibar, ambapo mtu mmoja alifariki. Watano kati ya watu hao, wameshafikishwa mahakamani.
Hayo yalisemwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Perreira Ame Silima, alipokuwa akijibu swali...

 

11 years ago

Mwananchi

Milipuko ya mabomu: Mmefanya nini?

Wakati milipuko ya mabomu ikiongezeka nchini, hasa kwenye miji ya kitalii ya Arusha na Unguja, kumekuwa na sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu Serikali kutotoa mkakati thabiti wa kupambana na tatizo hilo linalozidi kuota mizizi.

 

11 years ago

Mwananchi

Milipuko ya mabomu yarindima Z’bar

Watu wanne wamejeruhiwa baada ya milipuko minne inayoaminika kuwa ni mabomu kutokea katika maeneo matatu tofauti Zanzibar.

 

11 years ago

IPPmedia

Milipuko miwili ya mabomu yaitikisa Zanzibar


IPPmedia
Milipuko miwili ya mabomu yaitikisa Zanzibar
IPPmedia
Milipuko miwili imetokea leo Zanzibar maeneo tofauti na kuzua hofu, mmoja katika Hoteli ya Kitalii ya Mercury iliyopo eneo la Forodhani na kwenye lango la kanisa Kuu la Anglikana eneo la Mkunazini. Home » Editorial ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Milipuko ya mabomu Arusha ina nia gani?

WAKATI matokeo ya uchunguzi wa milipuko ya mabomu ya awali katika Jiji la Arusha hayajajulikana, mlipuko mwingine wa bomu umetokea jijini humo na kujerhi vibaya watu zaidi ya 17 waliokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Maneto: Polisi wabebe lawama milipuko ya mabomu

Wakati matukio ya milipuko ya mabomu yakiendelea katika baadhi ya mikoa nchini, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Amir Manento amelinyooshea kidole jeshi la polisi kwa madai kuwa linahusika na baadhi ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu katika vipindi tofauti nchini.

 

11 years ago

GPL

MILIPUKO YA GASI YAUA 22 TAIWAN

Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani