Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Milipuko yarindima Zanzibar

Milipuko minne imetokea katika maeneo tofauti mjini Zanzibar leo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Milipuko ya mabomu yarindima Z’bar

Watu wanne wamejeruhiwa baada ya milipuko minne inayoaminika kuwa ni mabomu kutokea katika maeneo matatu tofauti Zanzibar.

 

11 years ago

IPPmedia

Milipuko miwili ya mabomu yaitikisa Zanzibar


IPPmedia
Milipuko miwili ya mabomu yaitikisa Zanzibar
IPPmedia
Milipuko miwili imetokea leo Zanzibar maeneo tofauti na kuzua hofu, mmoja katika Hoteli ya Kitalii ya Mercury iliyopo eneo la Forodhani na kwenye lango la kanisa Kuu la Anglikana eneo la Mkunazini. Home » Editorial ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mabomu yarindima Nigeria

Watu wapatao ishirini na watano wamekufa kufuatia shambulio la bomu katika jimbo la Adamawa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

 

10 years ago

Mwananchi

Mabomu yarindima jijini Mwanza

>Hali ya amani katikati ya Jiji la Mwanza jana ilichafuka kwa takriban saa mbili kutokana polisi kupambana na wananchi, waliokuwa wakipinga hatua ya madhehebu ya Kihindi ya Swaminarayan kufunga Mtaa wa Makoroboi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Michuano ya kombe la dunia yarindima

Ubelgiji iliicharaza Urusi bao moja bila....wengi wanasema michuano hii ina mizengwe kwani matokeo wanayoshuhudia hawakuyatarajia

 

11 years ago

Mwananchi

Risasi, mabomu yarindima Mbeya

Maji ya kuwasha, mabomu na risasi za moto jana zilirindima jijini hapa kwa takriban saa mbili mfululizo, kutokana na waendesha bodaboda kuwazuia polisi waliokuwa wakimwokoa mtu anayedaiwa kushiriki njama za kumuua mwendesha pikipiki mwenzao, Zizza Mwambenja juzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mabomu ya machozi yarindima Mwanza

Polisi mkoani Mwanza wametumia mabomu ya machozi mapema leo kutawanya watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa Chadema  walioingia mitaani kushangilia wakiamini wagombea wao wanaongoza katika matokeo ya awali.

 

9 years ago

Mwananchi

Mabomu yarindima bomoabomoa Dar

Operesheni ya uwekaji wa alama ya X kwenye nyumba zilizojengwa mabondeni, fukwe za bahari na maeneo ya wazi, jana ilikwama kwa saa tatu baada ya vijana kufunga njia kwa magurudumu yaliyokuwa yakiwaka moto kupinga hatua hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Mabomu yarindima Kiteto Kura za maoni

NA BEATRICE MOSSES, MANYARA

JESHI la Polisi Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, limewatawanya wananchi wa eneo hilo kwa kutumia mabomu ya machozi, baada ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kuvamiwa na wananchi.

Kabla ya vurugu kuibuka wananchi wa Kata ya Engusero walifunga barabara na kuwazuia wajumbe hao kufika Kiteto kuhakiki matokeo ya kura za maoni ya ubunge wa chama hicho.

Katika vurugu hizo wananchi hao walimvamia mbunge aliyemaliza muda wake, Benedict Ole...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani