Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya kombe la dunia yarindima

Ubelgiji iliicharaza Urusi bao moja bila....wengi wanasema michuano hii ina mizengwe kwani matokeo wanayoshuhudia hawakuyatarajia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

STARTIMES KUANZA KUONYESHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA U20

Na Dotto Mwaibale
WAPENZI  wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama michuano ya kombe la dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee.
Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe  20 mwezi Juni  mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani yatachuana kuwania ubingwa.


Akizungumza baada ya kupata haki miliki kutoka kwa FIFA za...

 

11 years ago

Michuzi

TBC YAFANYA HALFA YA KUHITIMISHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014, DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana (kulia) akiwakaribisha wageni walioalikwa katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana Julai 12, 2014 katika ofisi za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel, akiongea machache katika hafla ya kuhitimisha michuano ya kombe la dunia 2014 iliyofanyika jana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya kombe la Capital One

Raheem Sterling aliihakikishia Liverpool kucheza nusu fainali za kombe la Capital One huku Chelsea ikibakia vizuri.

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika

Ratiba ya michuano ya kuwania kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika imetolewa leo na CAF.

 

11 years ago

Mwananchi

Ilikoanzia michuano ya Kombe la Chalenji

Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati, (CECAFA) linaelezwa kuwa ni kati ya mMabaraza makongwe barani Afrika katika soka.

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KOMBE LA CHIKAWE YASHIKA KASI NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akimkabidhi Kapteni wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Ubungo Stars ya Kata ya Namapwia, wilayani Nachingwea, Hassan Abbas zawadi ya mpira wa miguu baada ya timu hiyo kuongoza Ligi katika Kata hiyo. Timu nne zilishiriki mashindano hayo ya Kata na kufanikiwa kutengeneza timu moja ambayo itashiriki katika mashindano ya Tarafa ya Ruponda na baadaye kufika ngazi ya wilaya ambapo mshindi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Malinzi akabidhi kombe bingwa Michuano shule za Sekondari Dar

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa a(BMT) Dionizi Malinzi (wapili kulia)akikabidhi kombe kwa kapteni wa timu ya sekondari ya Mugabe Laurian Didas baada yakuibuka mabingwa katika michuano maalumu ya Community Sports Cup ambapo walishinda jumla ya bao 1-0 dhidi ya shule ya sekondari ya Kawe,( wa pili kutoka kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Tadeo, Katibu Mkuu wa BMT Henri Lihaya (wakwanza kutoka kulia). Michuano hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

FC VITO YAWA KINARA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA HELSINKI CUP 2015, FINLAND

TIMU ya soka ya vijana chini ya miaka 11 ya FC Vito Kilwa ya Kilwa mkoani Lindi, imemaliza mechi za hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Helsinki Cup 2015 kwa kishindo, baada ya kushinda mechi nne na kutoka sare moja, hivyo kumaliza ikiwa kinara wa Kundi BJ/11 ikiwa na pointi 13.
Zaidi ya timu 1,200 zinashiriki michuano hiyo ya nne kwa ukubwa miongoni mwa michuano ya vijana barani Ulaya, inayoendelea kushika kasi jijini Helsinki nchini Finland, ambako Tanzania inawakilishwa na FC Vito...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani