Ilikoanzia michuano ya Kombe la Chalenji
Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati, (CECAFA) linaelezwa kuwa ni kati ya mMabaraza makongwe barani Afrika katika soka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoRVGb50747B29mzpjwT0If2aQX991SQ-2n0QOwI6KFS7jdjaMMTW*2D5cShDEqu1X7p3N9913dptIJ0swoqbu-/kenyateam.jpg?width=650)
KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013
Kikosi cha Harambee Stars kilichotwaa kombe la Chalenji 2013. Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0 katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika dakika ya 35 na 69.
...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Kombe la Chalenji limepita, tujipange kwa AFCON 2015
MICHUANO ya Kombe la Chalenji kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), imefikia tamati jana mjini Nairobi, Kenya. Tanzania, kwa sura ya Jamhuri...
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Yanga, Simba, Azam zatia mkono fainali Kombe la Chalenji
Rwanda na Uganda zitakutana Jumamosi katika fainali ambayo itawakutanisha kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima na kiungo wa Azam, Jean Baptiste Mugiraneza na beki wa Simba, Juuko Murshid na hivyo kuwa kivutio kwa mashabiki wa klabu hizo kubwa nchini.
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Michuano ya kombe la Capital One
Raheem Sterling aliihakikishia Liverpool kucheza nusu fainali za kombe la Capital One huku Chelsea ikibakia vizuri.
11 years ago
BBCSwahili23 Jun
Michuano ya kombe la dunia yarindima
Ubelgiji iliicharaza Urusi bao moja bila....wengi wanasema michuano hii ina mizengwe kwani matokeo wanayoshuhudia hawakuyatarajia
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika
Ratiba ya michuano ya kuwania kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika imetolewa leo na CAF.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-N0HBZK6cblg/VEYPnkCf3CI/AAAAAAAGsH4/hUpzQo2WZBw/s72-c/unnamed%2B(70).jpg)
MICHUANO YA KOMBE LA CHIKAWE YASHIKA KASI NACHINGWEA
![](http://1.bp.blogspot.com/-N0HBZK6cblg/VEYPnkCf3CI/AAAAAAAGsH4/hUpzQo2WZBw/s1600/unnamed%2B(70).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MMnZFVoq8T0/VWqyMNz6-pI/AAAAAAAAQf8/dQVQ3ucxLoo/s72-c/z.jpg)
STARTIMES KUANZA KUONYESHA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA U20
![](http://1.bp.blogspot.com/-MMnZFVoq8T0/VWqyMNz6-pI/AAAAAAAAQf8/dQVQ3ucxLoo/s320/z.jpg)
WAPENZI wa soka nchini sasa watafaidi kwa kutazama michuano ya kombe la dunia chini ya miaka 20 mwaka 2015 moja wa moja kwenye luninga zao kupitia ving’amuzi vya StarTimes pekee.
Michuano hiyo ambayo itaanza kutimua vumbi tarehe 30 mwezi Mei na kumalizika tarehe 20 mwezi Juni mwaka huu moja kwa moja kutoka nchini New Zealand ambapo timu 24 za vijana kutoka mataifa mbalimbali duniani yatachuana kuwania ubingwa.
Akizungumza baada ya kupata haki miliki kutoka kwa FIFA za...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yrDakZ0gxM0/UwnwhXOAdxI/AAAAAAAFPDg/NoQOP-X2GWQ/s72-c/unnamed+(13).jpg)
Malinzi akabidhi kombe bingwa Michuano shule za Sekondari Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-yrDakZ0gxM0/UwnwhXOAdxI/AAAAAAAFPDg/NoQOP-X2GWQ/s1600/unnamed+(13).jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania