KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013
![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcoRVGb50747B29mzpjwT0If2aQX991SQ-2n0QOwI6KFS7jdjaMMTW*2D5cShDEqu1X7p3N9913dptIJ0swoqbu-/kenyateam.jpg?width=650)
Kikosi cha Harambee Stars kilichotwaa kombe la Chalenji 2013. Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0 katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika dakika ya 35 na 69. ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo06 Dec
Uganda bingwa mpya Chalenji
TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ jana ilitwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Rwanda ‘Amavubi’ bao 1-0.
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Niliyojionea Cecafa Chalenji 2013
MICHUANO ya soka kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) maarufu kama Cecafa Chalenji Cup iliyoanza Novemba 27 hadi Desemba 12, mwaka huu, ikishirikisha jumla ya timu...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Ilikoanzia michuano ya Kombe la Chalenji
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Kombe la Chalenji limepita, tujipange kwa AFCON 2015
MICHUANO ya Kombe la Chalenji kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), imefikia tamati jana mjini Nairobi, Kenya. Tanzania, kwa sura ya Jamhuri...
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Yanga, Simba, Azam zatia mkono fainali Kombe la Chalenji
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Azam FC bingwa 2013/14
WANALAMBALAMBA Azam FC jana waliandika historia mpya ya soka hapa nchini baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/14 kwa mara ya kwanza. Azam walitawazwa wafalme...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
AZAM FC BINGWA LIGI KUU BARA 2013/2014
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Bingwa Kombe la FA kumfunika wa Ligi
*Atacheza mechi saba tu atanyakua mil. 50/-
NA ELLY MHAGAMA, DAR ES SALAAM
BINGWA wa mashindano ya Kombe la FA ‘Azam Sports Federation Cup’, anatarajia kumfunika vibaya bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kwa fedha ya zawadi inayotolewa na wadhamini wa michuano hiyo.
Wakati wadhamini wa Ligi Vodacom wakitoa zawadi ya Sh milioni 70 kwa bingwa wake baada ya kucheza michezo 30, bingwa wa FA yeye anatarajia kuondoka na Sh milioni 50 baada ya kucheza michezo saba tu.
Mashindano ya FA...
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake