Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM FC BINGWA LIGI KUU BARA 2013/2014

Ni baada ya kuilaza Mbeya City bao 2-1 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya hivi punde na kufikisha jumla ya pointi 59 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Azam bingwa Ligi Kuu Bara

Mshambuliaji wa Azam Fc, Gaudence Mwaikimba akishangilia bao huku akifuatwa na mwenzake, Kipre Tchetche(kulia), nyuma yao ni mwenzao, Himid Mao katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Azam bingwa ligi kuu Na Martha Mboma, Mbeya
ILIKUWA kama vita lakini hatimaye mechi imefanyika, matokeo yamepatikana na rekodi imewekwa kwenye… ...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kila la heri lala salama Ligi Kuu Bara 2013/14

RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza kesho kwa miamba 14 kuanza ngwe ya mwisho ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo ambayo safari yake ilianza Agosti 24, mwaka...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom kukabidhi zawadi kwa Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Mei 27

Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza siku ya kukabidhi zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kushoto ni Ofisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura.
Bingwa wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/2014 timu ya Azam FC itakabidhiwa kitita chake cha zawadi Sh 75 Milioni Mei 27...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike

>Waswahili husema, hakuna kulala hadi kieleweke. Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu ambazo dhahiri zimekuwa za Yanga na Azam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara

TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...

 

10 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA: Yanga yang’ara, Azam yashikwa

>Baada ya miaka sita Yanga imepata ushindi  wa kwanza kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya  kwa kuichakaza Prisons mabao 3-0 wakati  Azam ikilazimishwa sare ya 0-0 na Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani