Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam FC bingwa 2013/14

WANALAMBALAMBA Azam FC jana waliandika historia mpya ya soka hapa nchini baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/14 kwa mara ya kwanza. Azam walitawazwa wafalme...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AZAM FC BINGWA LIGI KUU BARA 2013/2014

Ni baada ya kuilaza Mbeya City bao 2-1 katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya hivi punde na kufikisha jumla ya pointi 59 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote!

 

11 years ago

GPL

KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013

Kikosi cha Harambee Stars kilichotwaa kombe la Chalenji 2013. Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0 katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika dakika ya 35 na 69. ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam bingwa Cecafa

Timu ya soka ya Azam Fc ya Tanzania imeutwaa ubingwa kwa kombe la Cecafa kagame Cup kwa mwaka 2015

 

10 years ago

Raia Tanzania

Azam bingwa Kagame Cup

TIMU ya soka Azam FC jana imeandika historia mpya kwenye soka la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame Cup kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao  2-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mabao ya Azam yaliwekwa kimiani na washambuliaji John Bocco 'Adebayor' dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 65.

Bao la Bocco lilipatikana baada ya Tchetche kuwakimbiza mabeki wa Gor Mahia ambao walishindwa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Bingwa ni Yanga au Azam'

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajiwa kuanza Jumamosi hii, wachezaji wa zamani wa Tanzania wamesema ubingwa wa msimu huu ni Yanga au Azam, huku Simba ikipewa nafasi ya tatu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Azam bingwa Tanzania Bara

Kilabu ya Azam FC imetwaa Ubingwa Tanzania bara baada ya kuilaza Mbeya City bao 2-1 .

 

11 years ago

GPL

Azam FC bingwa 95%, wachezaji wapagawa

Wachezaji wa Azam FC. Na Sweetbert Lukonge
AZAM imebakiza ushindi kwenye mechi moja kati ya mbili zilizosalia kabla ya kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2013/14, baada ya jana kuiteketeza Ruvu Shooting kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mabatini uliopo Mlandizi, Pwani. Ushindi huo umewawezesha Azam kufikisha pointi 56, zikiwa ni nne mbele ya wapinzani wao, Yanga na kama Azam wakishinda mchezo ujao, watafikisha pointi...

 

11 years ago

GPL

Azam bingwa Ligi Kuu Bara

Mshambuliaji wa Azam Fc, Gaudence Mwaikimba akishangilia bao huku akifuatwa na mwenzake, Kipre Tchetche(kulia), nyuma yao ni mwenzao, Himid Mao katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, jana. Azam bingwa ligi kuu Na Martha Mboma, Mbeya
ILIKUWA kama vita lakini hatimaye mechi imefanyika, matokeo yamepatikana na rekodi imewekwa kwenye… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mayanja: Bingwa msimu huu ni Yanga au Azam

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amezitaja timu za Azam FC na Yanga kuwa ndizo pekee zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu huku akizipa nafasi finyu timu za Simba na Mtibwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani