Azam FC bingwa 95%, wachezaji wapagawa

Wachezaji wa Azam FC. Na Sweetbert Lukonge AZAM imebakiza ushindi kwenye mechi moja kati ya mbili zilizosalia kabla ya kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2013/14, baada ya jana kuiteketeza Ruvu Shooting kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mabatini uliopo Mlandizi, Pwani. Ushindi huo umewawezesha Azam kufikisha pointi 56, zikiwa ni nne mbele ya wapinzani wao, Yanga na kama Azam wakishinda mchezo ujao, watafikisha pointi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Azam bingwa Cecafa
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Azam FC bingwa 2013/14
WANALAMBALAMBA Azam FC jana waliandika historia mpya ya soka hapa nchini baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/14 kwa mara ya kwanza. Azam walitawazwa wafalme...
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Azam bingwa Tanzania Bara
10 years ago
Mwananchi08 Sep
‘Bingwa ni Yanga au Azam'
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Azam bingwa Kagame Cup
TIMU ya soka Azam FC jana imeandika historia mpya kwenye soka la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Kagame Cup kwa kuifunga Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0 katika mechi ya fainali iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mabao ya Azam yaliwekwa kimiani na washambuliaji John Bocco 'Adebayor' dakika ya 16 na Kipre Tchetche dakika ya 65.
Bao la Bocco lilipatikana baada ya Tchetche kuwakimbiza mabeki wa Gor Mahia ambao walishindwa...
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Wachezaji wa kimataifa wawasili Azam
11 years ago
GPL
Azam bingwa Ligi Kuu Bara
11 years ago
Mwananchi22 Aug
Kocha wa Azam FC awashukia wachezaji wake
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Mayanja: Bingwa msimu huu ni Yanga au Azam