Mayanja: Bingwa msimu huu ni Yanga au Azam
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amezitaja timu za Azam FC na Yanga kuwa ndizo pekee zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu huku akizipa nafasi finyu timu za Simba na Mtibwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqrrVO3ue7F1u7snQaoQpTmqaWv3S5f2BPavLwpWwxcAMW1WR*Hvci19xmCG8Eh17oGSXkYJJ2OOhDzaPqHsq2Zu/kavumbagu.jpg?width=600)
Kavumbagu: Piga ua, Yanga bingwa msimu huu
Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Didier Kavumbagu, ametamka wazi kwamba hata iweje ubingwa wa ligi unatua Jangwani kwa mara nyingine msimu huu. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kavumbagu alisema kwamba hakuna ubishi kwamba mabingwa ni wao kuanzia matokeo bora waliyokuwa nayo ya ligi mpaka kikosi kamili walichokuwa nacho msimu huu. Alisema...
10 years ago
TheCitizen30 Dec
SOCCER: Mayanja’s advice to Yanga, Azam
>Azam FC and Young Africans must raise their game if they are to avoid Africa club competitions mishap in the next few weeks, says a Premier League side coach.
9 years ago
Mwananchi08 Sep
‘Bingwa ni Yanga au Azam'
Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajiwa kuanza Jumamosi hii, wachezaji wa zamani wa Tanzania wamesema ubingwa wa msimu huu ni Yanga au Azam, huku Simba ikipewa nafasi ya tatu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAEzTuBuhzeUD2kqpzylyrDlcLaYuFkHLQ2SIWksNhfpnHNyttMGz5*1zyAXwi3dEG0Tak3Xr-dguNeFSCcB61sKA/kagera.jpg?width=650)
Kagera: Bora Azam iwe bingwa siyo Yanga
Kikosi cha timu ya Kagera Sugar. Na Sweetbert Lukonge
KAGERA Sugar inatarajiwa kukipiga na Simba, kesho Jumamosi kisha itakutana na Yanga, Jumatano ijayo, lakini benchi la ufundi la timu hiyo ya mkoani Kagera limesema ‘litakaza’ kwenye mechi zote hizo.
Ikiwa Kagera itaizuia Yanga kupata ushindi, maana yake ni kuwa, Azam FC itakuwa imetwaa ubingwa kwani mpaka sasa inahitaji pointi sita katika mechi tatu...
9 years ago
Mwananchi22 Aug
‘Utatu’ huu kumaliza mechi Azam, Yanga
Dar es Salaam. Â Baada ya tambo za muda mrefu kuhusu ubora wa vikosi vyao, Azam na Yanga zina silaha hatari tatu kila moja zinazoweza kumaliza mechi mapema.
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali
Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania