Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kagera: Bora Azam iwe bingwa siyo Yanga

Kikosi cha timu ya Kagera Sugar. Na Sweetbert Lukonge
KAGERA Sugar inatarajiwa kukipiga na Simba, kesho Jumamosi kisha itakutana na Yanga, Jumatano ijayo, lakini benchi la ufundi la timu hiyo ya mkoani Kagera limesema ‘litakaza’ kwenye mechi zote hizo.
Ikiwa Kagera itaizuia Yanga kupata ushindi, maana yake ni kuwa, Azam FC itakuwa imetwaa ubingwa kwani mpaka sasa inahitaji pointi sita katika mechi tatu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

‘Bingwa ni Yanga au Azam'

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikitarajiwa kuanza Jumamosi hii, wachezaji wa zamani wa Tanzania wamesema ubingwa wa msimu huu ni Yanga au Azam, huku Simba ikipewa nafasi ya tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mayanja: Bingwa msimu huu ni Yanga au Azam

Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amezitaja timu za Azam FC na Yanga kuwa ndizo pekee zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu huku akizipa nafasi finyu timu za Simba na Mtibwa.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBA YAPEWA AZAM, YANGA DHIDI YA KAGERA KOMNE LA ASFC

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiDROO ya upangaji wa mechi za robo faini ha Kombe la Azam Sports Federation Cup imefanyika kwa vigogo viwili vya soka kukutana katika hatua hiyo.
Upangaji huo umerushwa moja kwa moja na kituo cha Azam na kusimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF).
Katika mchezo wa kwanza, Simba Watakutana na Azam ikiaminiwa ni kuwa mchezo wenye ushindani mkubwa sana kutokana na historia ya mchezo wa ligi uliopita.
Mchezo wa pili utakuwa ni Yanga wakiwakaribisha Kagera...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hati iwe halisi au siyo, mjadala ufungwe’

>Maria Sarungi ameomba mjadala kuhusu Hati ya Muungano ufungwe hata kama itakayowasilishwa bungeni haitakuwa halisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Demokrasia iwe kwa wote, siyo matajiri pekee

>Hatukushangazwa hata kidogo na hatua ya baadhi ya wanachama wa CCM wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge, kulalamikia utaratibu uliowekwa na chama hicho unaowataka kutoa kiasi kikubwa cha fedha kama mchango wa kampeni za kujinadi kwa wananchi katika majimbo yao.

 

11 years ago

Michuzi

MIRADI IWE ENDELEVU SIYO KWA MWENGE TU - RACHEL KASANDA

VIONGOZI na watendaji mkoani Pwani wametakiwa kuhakikisha kuwa miradi yote ya maendeleo inayozinduliwa katika kipindi cha mbio za mwenge iwe endelevu ili iwasaidie wananchi na si kwa ajili ya mbio hizo.
Baadhi ya miradi imeonekana kuzinduliwa na viongozi wa mbio za mwenge lakini baada ya muda inakufa jambo ambalo si malengo ya miradi hiyo ambayo imekuwa mkombozi kwa wananchi katika kutatua changamoto za kupata huduma za kijamii.
Hayo yamesemwa na kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Rachel...

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani