Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YAPEWA AZAM, YANGA DHIDI YA KAGERA KOMNE LA ASFC

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamiiDROO ya upangaji wa mechi za robo faini ha Kombe la Azam Sports Federation Cup imefanyika kwa vigogo viwili vya soka kukutana katika hatua hiyo.
Upangaji huo umerushwa moja kwa moja na kituo cha Azam na kusimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF).
Katika mchezo wa kwanza, Simba Watakutana na Azam ikiaminiwa ni kuwa mchezo wenye ushindani mkubwa sana kutokana na historia ya mchezo wa ligi uliopita.
Mchezo wa pili utakuwa ni Yanga wakiwakaribisha Kagera...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

11 years ago

GPL

Kagera: Bora Azam iwe bingwa siyo Yanga

Kikosi cha timu ya Kagera Sugar. Na Sweetbert Lukonge
KAGERA Sugar inatarajiwa kukipiga na Simba, kesho Jumamosi kisha itakutana na Yanga, Jumatano ijayo, lakini benchi la ufundi la timu hiyo ya mkoani Kagera limesema ‘litakaza’ kwenye mechi zote hizo.
Ikiwa Kagera itaizuia Yanga kupata ushindi, maana yake ni kuwa, Azam FC itakuwa imetwaa ubingwa kwani mpaka sasa inahitaji pointi sita katika mechi tatu...

 

9 years ago

MillardAyo

Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz …

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, Mwanza ulichezwa mchezo wa Toto Africans dhidi ya African Sports ya Tanga, wakati Dar Es Salaam katika dimba la Azam Complex Chamazi, kulikuwa kuna mchezo wa kuvutia kati ya Azam FC dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC ambao walikuwa katika uwanja wao wa nyumbai […]

The post Hivi ndivyo Azam FC walivyoendeleza ubabe katika uwanja wao wa Chamazi dhidi ya Kagera, Cheki pichaz … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani