Kavumbagu: Piga ua, Yanga bingwa msimu huu
![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqrrVO3ue7F1u7snQaoQpTmqaWv3S5f2BPavLwpWwxcAMW1WR*Hvci19xmCG8Eh17oGSXkYJJ2OOhDzaPqHsq2Zu/kavumbagu.jpg?width=600)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Didier Kavumbagu. Na Hans Mloli MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi Didier Kavumbagu, ametamka wazi kwamba hata iweje ubingwa wa ligi unatua Jangwani kwa mara nyingine msimu huu. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kavumbagu alisema kwamba hakuna ubishi kwamba mabingwa ni wao kuanzia matokeo bora waliyokuwa nayo ya ligi mpaka kikosi kamili walichokuwa nacho msimu huu. Alisema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Mayanja: Bingwa msimu huu ni Yanga au Azam
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Piga mswaki, piga deki, piga amani
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9whBoo1pTWNEPDSwhZ76xPpeY*R3OOoAbWX9xQve6MMJ9E4xT6QYeCiRbQhKhZ7L1N6gv-CEz4raOLh0ztORbiORqWbsae3F/Kavumbagu.jpg?width=650)
Kavumbagu mali ya Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9dH*qeE0zbJMtY**3hjYjn9jCinxrOezPFD8l5Ig2D*KkLoRbhp2rQs7snu1N8sZvJb2ERtNflQks3QEjTzC-PQ/kavu.jpg?width=650)
Kavumbagu awapa Yanga siku 30
11 years ago
TheCitizen01 May
No regrets over leaving Yanga, says Kavumbagu