Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Piga mswaki, piga deki, piga amani

Mimi sipendi barua ya vitisho, hata kidogo. Na sipendi zaidi iwapo mtishaji hana hata uthubutu wa kutaja yeye ni nani. Ndiyo maana nilikasirika kupata barua jana. Sijui ilitoka kwa nani, lakini bila shaka mtaweza kuhisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WEMA: PIGA...

Na Imelda Mtema
Licha ya mama yake mzazi kupinga kwa nguvu zote, staa wa filamu nchini na mtangazaji wa Kipindi cha Runinga cha In My Shoes, Wema Sepetu ameapa kwamba hata iweje, lazima msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’ awe mume wake, Amani lina stori kamili. Wema akiwa na mpenzi wake Diamond. NI CHAGUO LAKE
Akizungumza na Amani katika spesho intavyu hivi karibuni, Wema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars piga Mambas

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, leo inawakaribisha Msumbiji ‘Mambas’ Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza wa ngwe ya mwisho ya kuingia katika vita...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Piga kura ya maoni sasa

Bonyeza hapa kupiga kura online

The post Piga kura ya maoni sasa appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

BBCSwahili

Piga chapa kukomesha udukuzi?

Ujerumani yapendekeza kutumia piga chapa kujilinda kutokana na udukuzi. Kivipi?

 

11 years ago

BBCSwahili

Piga simu kupitia Whatsapp?

Baada ya Facebook kununua Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma ya kupiga simu

 

10 years ago

Bongo Movies

Monalisa: Piga Ua Nitaolewa Mwezi Desemba

Mrembo na kwenye sanaa ya uigizaji, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amesema baada ya kuchoka kuulizwa anaolewa lini, ameamua bora iwe mwezi wa 12.

Akizungumza na GPL, Monalisa alisema kutokana na hilo, kama mambo yatakwenda sawa, mwezi wa tano taratibu zitaanza na kila mmoja atamjua mumewe mtarajiwa atakayefunga naye ndoa Desemba, mwaka huu.
“Nimechoka kuulizwa kila siku unaolewa lini, ni hivi, piga ua mwaka huu. Itabidi niongee na mwenzangu na nina hakika atanikubalia, mambo yatatimia tu,”...

 

11 years ago

Habarileo

Usafiri unakukera? Piga namba hii

MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imetangaza namba za simu zinazoweza kutumiwa na abiria kuripoti kero na uvunjwaji wa sheria za barabarani, unaofanywa na madereva na makondakta wa daladala wawapo safarini.

 

11 years ago

GPL

CHUCHU PIGA, UA LAZIMA RAY ATANIOA!

Stori: Imelda Mtema
LICHA ya hivi karibuni gazeti dada la hili, Risasi kumnukuu mcheza filamu mahiri Vincent Kigosi ‘Ray’ akikana kuwepo kwa mpango wa kumuoa mpenzi wake Chuchu Hans, dada huyo ambaye pia ni msanii wa fani hiyo, ameibuka na kusema piga ua lazima wataoana. Vincent Kigosi ‘Ray’ akiwa kwenye pozi la kimahaba na Chuchu hans Akizungumza na gazeti hili juzikati, Chuchu alisema hana uhakika...

 

9 years ago

GPL

JAFFARAI ACHA MBWEMBWE, PIGA KAZI!

KUNDI la muziki wa kizazi kipya la Wateule, lililokuwa na maskani yake Makumbusho jijini Dar es Salaam, ni moja kati ya makundi yaliyokuwa na vijana wenye vipaji vya hali ya juu katika Bongo Fleva. Walitengeneza kundi lililopata kuwa alama kubwa katika muziki, kwani waliweza kutoa kazi kali kama kundi, huku wasanii wake pia wakifanya vizuri katika ‘project’ zao binafsi.Miongoni mwa ‘vichwa’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani