JAFFARAI ACHA MBWEMBWE, PIGA KAZI!
![](http://api.ning.com:80/files/jnr6Dbg3YZ1kbQAe*N5b9a4tRlZNK3LYUzliCSCTSP*e*0SzqkCc8SMtbsAaggDVZfUJebogVnkJvvhmOmsDhzlb9Vy3PBQt/MAMAWEMA.jpg)
KUNDI la muziki wa kizazi kipya la Wateule, lililokuwa na maskani yake Makumbusho jijini Dar es Salaam, ni moja kati ya makundi yaliyokuwa na vijana wenye vipaji vya hali ya juu katika Bongo Fleva. Walitengeneza kundi lililopata kuwa alama kubwa katika muziki, kwani waliweza kutoa kazi kali kama kundi, huku wasanii wake pia wakifanya vizuri katika ‘project’ zao binafsi.Miongoni mwa ‘vichwa’...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Piga mswaki, piga deki, piga amani
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Malinzi acha kujitetea, fanya kazi yako TFF
9 years ago
Bongo506 Nov
Jaffarai asita kuachia wimbo mwingine mwaka huu
![jaff](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/jaff-300x194.jpg)
Rapper Jaffarai amesema ameahirisha kutoa wimbo mpya mwaka huu kutokana na masikio ya wengi kutokuwa tayari.
Rapper huyo amesema ataanza kusikika tena February mwakani kwa kile anachoamini kuwa ni mwezi wenye bahati kwake.
“Nimeona bora niache kutoa ngoma kwa sasa kwa sababu kuna vitu vingi bado vinaendelea na nimeplan kutoa ngoma mpya mwakani mwezi wa pili kwa sababu huwaga na zali sana mwezi wa pili,” ameiambia Bongo5.
“Ngoma zangu nyingi ninazofanya mwezi wa pili zinakuwa hit, kila...
10 years ago
GPL08 Jun
10 years ago
Bongo529 Sep
Jaffarai ajinunulia gari hii kama zawadi ya birthday (Picha)
9 years ago
Bongo516 Sep
Ningezaliwa Marekani, Nigeria au SA ningekuwa tajiri mwenye hela nyingi sana — Jaffarai
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/kWv8gtFGWRQ/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9GG82ED32CHPkmsw51bbibO0pbyhlCnrGf9ftA-SBT8oSoS9i-OMsedBuwGx*SqOrW2IyH6DbTG6NfxWp264mxW/wema.jpg?width=650)
WEMA: PIGA...