WEMA: PIGA...
![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9GG82ED32CHPkmsw51bbibO0pbyhlCnrGf9ftA-SBT8oSoS9i-OMsedBuwGx*SqOrW2IyH6DbTG6NfxWp264mxW/wema.jpg?width=650)
Na Imelda Mtema Licha ya mama yake mzazi kupinga kwa nguvu zote, staa wa filamu nchini na mtangazaji wa Kipindi cha Runinga cha In My Shoes, Wema Sepetu ameapa kwamba hata iweje, lazima msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’ awe mume wake, Amani lina stori kamili. Wema akiwa na mpenzi wake Diamond. NI CHAGUO LAKE Akizungumza na Amani katika spesho intavyu hivi karibuni, Wema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Piga mswaki, piga deki, piga amani
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Stars piga Mambas
TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, leo inawakaribisha Msumbiji ‘Mambas’ Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza wa ngwe ya mwisho ya kuingia katika vita...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar24 Sep
Piga kura ya maoni sasa
Bonyeza hapa kupiga kura online
The post Piga kura ya maoni sasa appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Piga simu kupitia Whatsapp?
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Piga chapa kukomesha udukuzi?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qh3zhB5UkQH08guW0pfxjV2CVHqhG937xfMAq1wgnwqVBTJM2OCbRbp-JsMNusnErYVeVEX9cTB7c3ZG-CEHzGA/pigaua.jpg?width=650)
CHUCHU PIGA, UA LAZIMA RAY ATANIOA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxaDMdCIR8XKEwkDbslVwrXu1D7t9r*g9AkDdL7*VhSsWknyYr6Nd2MlQME1MJUHrHQx6Lm4u0ltMZlHh90ZYsJf/jini.jpg?width=650)
JINI KABULA: PIGA UA BUSHOKE ANANIOA
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Monalisa: Piga Ua Nitaolewa Mwezi Desemba
Mrembo na kwenye sanaa ya uigizaji, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amesema baada ya kuchoka kuulizwa anaolewa lini, ameamua bora iwe mwezi wa 12.
Akizungumza na GPL, Monalisa alisema kutokana na hilo, kama mambo yatakwenda sawa, mwezi wa tano taratibu zitaanza na kila mmoja atamjua mumewe mtarajiwa atakayefunga naye ndoa Desemba, mwaka huu.
“Nimechoka kuulizwa kila siku unaolewa lini, ni hivi, piga ua mwaka huu. Itabidi niongee na mwenzangu na nina hakika atanikubalia, mambo yatatimia tu,”...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jnr6Dbg3YZ1kbQAe*N5b9a4tRlZNK3LYUzliCSCTSP*e*0SzqkCc8SMtbsAaggDVZfUJebogVnkJvvhmOmsDhzlb9Vy3PBQt/MAMAWEMA.jpg)
JAFFARAI ACHA MBWEMBWE, PIGA KAZI!