Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Piga chapa kukomesha udukuzi?

Ujerumani yapendekeza kutumia piga chapa kujilinda kutokana na udukuzi. Kivipi?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Piga mswaki, piga deki, piga amani

Mimi sipendi barua ya vitisho, hata kidogo. Na sipendi zaidi iwapo mtishaji hana hata uthubutu wa kutaja yeye ni nani. Ndiyo maana nilikasirika kupata barua jana. Sijui ilitoka kwa nani, lakini bila shaka mtaweza kuhisi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chege aachia ‘Chapa Nyingine’

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Saidi Juma ‘Chege’, ameachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Chapa Nyingine’. Akizungumza jijini Dar es...

 

11 years ago

GPL

MAKALA: CHEGE CHAPA NYINGINE

Said Nassoro ‘Chege Chigunda’. NAPOTAJA makundi yanayofanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva bila kupepesa ni lazima utalitaja Kundi la TMK Wanaume Family. Ndani yake kuna vichwa vingi ambavyo vinaunda kundi hilo na kati yao ni Aman James ‘Mheshimiwa Temba’ na Said Nassoro ‘Chege Chigunda’. Vijana hawa wamefanya mabadiliko makubwa katika muziki ndani na hata nje ya kundi. Kuna kazi za...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Mtanzania

Kili Stars chapa hao Wahabeshi

Kilimanjaro-StarsNA MWANDISHI WETU

TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’ leo saa 10.00 jioni itakuwa ikisaka nafasi ya kuingia nusu fainali ya Kombe la Kagame pale itakapovaana na wenyeji Ethiopia kwenye mchezo wa robo fainali.

Huo utakuwa ni mchezo wa pili kwa pande hizo mbili kukutana ndani ya siku tatu baada ya juzi kuvaana katika mechi ya hatua ya makundi wakitoka Kundi A na Ethiopia kulazimisha sare ya bao 1-1.

Bao la Kili Stars lilifungwa na winga machachari Simon Msuva huku Ethiopia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kosa la upigaji chapa la $500m Nigeria

Mamlaka inayosimamia mawasiliano Nigeria imesema ilifanya kosa la $500m (£330m) katika upigaji chapa ilipokuwa ikitangaza kupunguzwa kwa faini iliyotozwa kampuni ya MTN.

 

11 years ago

GPL

PENNY; CHAGUA BEGA, CHAPA ILALE!

Stori: Anko Nangale
LEO nabonga naye mwanadashosti anayeuza nyago kwenye kichupa cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Nianze kwa kukupa gwala kiroho safi. Juzikati umefunguka kuwa umepiga chini kiaina malovee na Diamond, mzuka mwingi. Umetisha sana. Mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’. Unajua laifu la malavidavi ndivyo lilivyo siku hizi. Mizinguo inakuwa mingi na wengi huwa wanatambua kuna...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu mashuhuri walaani udukuzi

Wiki jana taarifa za watu mashuhuri zilifichuliwa kupitia akauti zao za iCloud huku picha za kibinafsi kuchapishwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Facebook yakiri kosa la 'udukuzi'

Facebook imekiri kuwa ilikosa kwa kuchunguzxa taarifa za watumiaji wa mtandao huo bila idhini yao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani