PENNY; CHAGUA BEGA, CHAPA ILALE!
![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t8SZ7ULKV6pYC4IK2Ug4ejgxwdM59Hu*imc1YmplN5FoAHh3br8zqHi9JzhLHYP4TDlsfXlE-*vtMdforcyVRZl/peny.jpg?width=650)
Stori: Anko Nangale LEO nabonga naye mwanadashosti anayeuza nyago kwenye kichupa cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’. Nianze kwa kukupa gwala kiroho safi. Juzikati umefunguka kuwa umepiga chini kiaina malovee na Diamond, mzuka mwingi. Umetisha sana. Mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’. Unajua laifu la malavidavi ndivyo lilivyo siku hizi. Mizinguo inakuwa mingi na wengi huwa wanatambua kuna...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 May
Nyalandu: Vigogo serikalini wako bega kwa bega na majangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amedai kuwa majangili wote wanaotiwa mbaroni na vikosi vya Askari wa Wanyamapori, wanadaiwa wanatumwa na watu waliopo kwenye ofisi za serikali na wengine nje ya nchi.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rf1dO92wzfx-ck8GUcFIokINNgGHOfSulOG7Egb*5YLE1XqDo6klUjsHQ0jHJ87Dxux8KVMDweOAQjCQhLp*8EKhTXRsco/CCM.jpg?width=750)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fGcspb67QRQ/XoRxbi2F0yI/AAAAAAALlxU/dOjFSYzsqWQjpJrpK8Cx574DMbgsvuB4QCLcBGAsYHQ/s72-c/093d0932-90be-4079-abf5-61c1daf3dbe8.jpg)
MERIDIANBET INAWAJIBIKA KWA JAMII: Afya na burudani vinaenda bega kwa bega!
![](https://1.bp.blogspot.com/-fGcspb67QRQ/XoRxbi2F0yI/AAAAAAALlxU/dOjFSYzsqWQjpJrpK8Cx574DMbgsvuB4QCLcBGAsYHQ/s640/093d0932-90be-4079-abf5-61c1daf3dbe8.jpg)
KAMPUNI inayowajibika kwa jamii na kujali afya na utu wa wananchi, Meridianbet inataka kukuhimiza kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa na mamlaka husika.
Sisi kama jamii ni lazima tujali afya zetu na wananchi wengine na kuonesha mshikamano kati yetu.
Tunafahamu kiasi cha msongo wa mawazo na hali ya mabadiliko katika maisha yetu, hali hii imepelekea watu wengi kutumia muda mwingi kukaa majumbani na kujitenga.
Hivyo, kwa ajili ya kufanya hali iwe rahisi katika kipindi hiki ambacho wote tupo,...
9 years ago
Mtanzania05 Dec
Rojo afyatuka bega mazoezini
MANCHESTER, ENGLAND
KLABU ya Manchester United imepata pigo baada ya beki wake Marcos Rojo kufyatuka bega akiwa mazoezini na klabu hiyo.
Ajalia hiyo ya kufanyatuka bega ilitokea wakati wa mazoezi juzi ambapo aliumia bega lile lile aliloumia msimu uliopita katika mchezo dhidi ya Manichester City na kukaa nje ya Uwanja kwa wiki nne.
Hata hivyo klabu hiyo bado haijazungumzia suala la beki huyu ila kocha wa timu hiyo Louis van Gaal anatarajia kutoa maelezo ya kuumia huko kwa beki wake.
Beki huyo...
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Rojo aumia bega mazoezini
10 years ago
BBCSwahili07 May
Pacquiao afanyiwa upasuaji wa bega
10 years ago
BBCSwahili01 May
Ben Davies apasuliwa bega
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi1KqEyByNIlsZuHbJdGMmVaQPHe5Xgkl5vxxA*4CInY7rjfbLVw0Hjjc0wg3sSoeGn6yL8ws0Z4017IiRRv0-xf/Chegee_full.jpg)
MAKALA: CHEGE CHAPA NYINGINE
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Piga chapa kukomesha udukuzi?