Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rojo aumia bega mazoezini

Beki wa Klabu ya Manchester united atakua nje ya uwanja kwa muda wiki kadhaa baada ya kuumia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Marcus Rojo apata majeraha aumia bega mazoezini

2ECEEEDA00000578-0-image-m-5_1449173168935

Beki wa kushoto wa Klabu ya Manchester united Marcus Rojo atakua nje ya uwanja kwa muda wiki kadhaa baada ya kuumia bega wakati wa mazoezi.

2ECEEEDA00000578-0-image-m-5_1449173168935

Rojo alipata ajali hiyo ya kufanyatuka bega ilitokea wakati wa mazoezi ya Alhamis kwa bega lilelile lilofyatuka msimu uliopita katika mchezo dhidi ya Manichester City.

Rojo hakufanyiwa upasuaji kwa jeraha hilo ila alikaa nje ya dimba kwa muda wa wiki nne.

Klabu yake bado haijazungumzia swala la beki huyu ila ikitarajiwa kuwa leo ijumaa kocha mkuu wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Rojo afyatuka bega mazoezini

18565750-9735-11e4-866b-954973a0d8e5_RojoMANCHESTER, ENGLAND

KLABU ya Manchester United imepata pigo baada ya beki wake Marcos Rojo kufyatuka bega akiwa mazoezini na klabu hiyo.

Ajalia hiyo ya kufanyatuka bega ilitokea wakati wa mazoezi juzi ambapo aliumia bega lile lile aliloumia msimu uliopita katika mchezo dhidi ya Manichester City na kukaa nje ya Uwanja kwa wiki nne.

Hata hivyo klabu hiyo bado haijazungumzia suala la beki huyu ila kocha wa timu hiyo Louis van Gaal anatarajia kutoa maelezo ya kuumia huko kwa beki wake.

Beki huyo...

 

10 years ago

Habarileo

Banda aumia mazoezini Uturuki

KIUNGO wa Simba, Abdi Banda anayekipiga katika kikosi cha Taifa Stars ameumia akiwa mazoezini nchini Uturuki. Kwa mujibu wa mtandao, Banda aliumia wakati wa mazoezi ya kukimbia kwa kasi yaliyokuwa yakiongozwa na Kocha Mkuu wa Stars, Charles Mkwasa na msaidizi wake, Hemed Morocco.

 

9 years ago

Bongo5

Daniel Sturridge aumia tena mazoezini

2ECE215B00000578-3333700-image-a-10_1448471418906

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza anayeichezea klabu ya Liverpool, Daniel Sturridge, ameumia tena.

2ECE215B00000578-3333700-image-a-10_1448471418906

Sturridge ambaye hadi hivi sasa ameichezea Liverpool mechi tatu tangu kuanza kwa msimu huu, aliumia katika mazoezi ya kujianda na mechi dhidi ya na Bordeux ya Ufaransa na haijajulikana itachukua muda gani.

Kocha Jurgen Klopp amesema hajui nini kinaendelea kwa nyota wake huyo aliyeifungia Liverpool magoli 42 katika michezo 70 aliyoichezea klabu hiyo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu: Vigogo serikalini wako bega kwa bega na majangili

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amedai kuwa majangili wote wanaotiwa mbaroni na vikosi vya Askari wa Wanyamapori, wanadaiwa wanatumwa na watu waliopo kwenye ofisi za serikali na wengine nje ya nchi.

 

5 years ago

Michuzi

MERIDIANBET INAWAJIBIKA KWA JAMII: Afya na burudani vinaenda bega kwa bega!


KAMPUNI inayowajibika kwa jamii na kujali afya na utu wa wananchi, Meridianbet inataka kukuhimiza kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa na mamlaka husika.
Sisi kama jamii ni lazima tujali afya zetu na wananchi wengine na kuonesha mshikamano kati yetu.
Tunafahamu kiasi cha msongo wa mawazo na hali ya mabadiliko katika maisha yetu, hali hii imepelekea watu wengi kutumia muda mwingi kukaa majumbani na kujitenga.
Hivyo, kwa ajili ya kufanya hali iwe rahisi katika kipindi hiki ambacho wote tupo,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Falcao aumia tena Chelsea

Mshambuliaji wa Chelsea Radamel Falcao ameumia tena na hataweza kucheza hadi katikati mwa Januari.

 

11 years ago

Mwananchi

Manchester United yamsainisha Rojo

Manchester United imemsajili beki wa kimataifa wa Argentina, Marcos Rojo kwa kitita cha pauni 16 milioni katika mkataba wa miaka mitano.

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi aumia, kuikosa Tanzania Prisons

Jinamizi la majeruhi limezidi kuiandama Simba baada ya mshambuliaji wake mahiri Emmanuel Okwi kuumia kifundo cha mguu na kuna uwezekano wa kuikosa mechi ya kesho dhidi ya Prisons.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani