Daniel Sturridge aumia tena mazoezini
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza anayeichezea klabu ya Liverpool, Daniel Sturridge, ameumia tena.
Sturridge ambaye hadi hivi sasa ameichezea Liverpool mechi tatu tangu kuanza kwa msimu huu, aliumia katika mazoezi ya kujianda na mechi dhidi ya na Bordeux ya Ufaransa na haijajulikana itachukua muda gani.
Kocha Jurgen Klopp amesema hajui nini kinaendelea kwa nyota wake huyo aliyeifungia Liverpool magoli 42 katika michezo 70 aliyoichezea klabu hiyo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...
Bongo5
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10