Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sturridge aipania Uruguay

Mshambuliaji wa England, Daniel Sturridge anajiandaa kufanya kila kitu kuhakikisha hawatolewi mapema katika fainali za Kombe la Dunia kesho wakati watakapocheza mechi ya ‘kufa au kupona’ dhidi ya Uruguay.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Kocha Azam aipania Ndanda

Stewart-HallNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA wa timu ya Azam, Stewart Hall, amesema atahakikisha kikosi chake kinapata ushindi dhidi ya Ndanda ya Mtwara kesho baada ya kuambulia pointi moja dhidi ya Yanga Jumamosi iliyopita.

Hall aliyepania kushinda mechi kumi za kwanza za Ligi Kuu, amesema mechi dhidi ya Yanga imevuruga hesabu zake, lakini ameyafanyia kazi makosa yaliyowagharimu ili kuendeleza wimbi la ushindi.

Azam ambayo msimu uliopita ilifungwa bao 1-0 na timu hiyo kwenye Uwanja wa Nangwanda...

 

11 years ago

Mwananchi

Sturridge, Gerrard wang’arisha

Liverpool imeendelea kusaka ubingwa wake wa kwanza msimu huu baada ya kuichapa Sunderland 2-1 na kurejea katika nafasu ya pili.

 

9 years ago

Bongo5

Daniel Sturridge aumia tena mazoezini

2ECE215B00000578-3333700-image-a-10_1448471418906

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza anayeichezea klabu ya Liverpool, Daniel Sturridge, ameumia tena.

2ECE215B00000578-3333700-image-a-10_1448471418906

Sturridge ambaye hadi hivi sasa ameichezea Liverpool mechi tatu tangu kuanza kwa msimu huu, aliumia katika mazoezi ya kujianda na mechi dhidi ya na Bordeux ya Ufaransa na haijajulikana itachukua muda gani.

Kocha Jurgen Klopp amesema hajui nini kinaendelea kwa nyota wake huyo aliyeifungia Liverpool magoli 42 katika michezo 70 aliyoichezea klabu hiyo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

 

9 years ago

BBCSwahili

Daniel Sturridge apata jeraha jingine

Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge amepata jereha jingine la mguu wakati wa mazoezi ambalo lilimuweka nje katika mechi dhidi ya Bordeaux katika ligi ya Yuropa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Dan Sturridge huenda akafanyiwa upasuaji

Mshambuliaji wa Liverpool Dan Sturridge huenda akafanyiwa upasuaji ili kutibu tatizo la nyonga linalomsumbua

 

11 years ago

BBCSwahili

Colombia itachuana na Uruguay

Colombia iliilaza japan 4 -1 na sasa itachuana na Uruguay katika raundi ya pili

 

11 years ago

BBCSwahili

Uingereza na Uruguay zinapambana Brazil

Uruguay na Uingereza zinatafuta pointi ya kwanza katika kombe la dunia .. Timu zote zilishindwa katika mechi zao za ufunguzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Siagi ya Uruguay yanaswa Brazil

Wasimamizi wa uwanja wa ndege Brazil wamezuia kilo 39 za siagi ya karameli kutoka timu ya Uruguay

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais wa Uruguay atukana maafisa wa FIFA

Jose Mujica amewatukana maafisa wa FIFA kwa kumpiga marufuku mchezaji wa nchi hiyo Luis Suarez.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani