Okwi aumia, kuikosa Tanzania Prisons
Jinamizi la majeruhi limezidi kuiandama Simba baada ya mshambuliaji wake mahiri Emmanuel Okwi kuumia kifundo cha mguu na kuna uwezekano wa kuikosa mechi ya kesho dhidi ya Prisons.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Kimwaga aumia rohoni kuikosa Stars
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Joseph Kimwaga ametoa la moyoni akisema kwamba kama kuna jambo linalomuumiza kichwa katika kazi yake ni kukosa kujumuishwa kwenye kikosi cha Taifa Stars na badala yake anageuka shabiki wa kutazama wanachokifanya wenzake.
11 years ago
Mwananchi20 Sep
Okwi kuikosa Coastal
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi huenda akawa mtazamaji wakati timu yake itakaposhuka uwanjani kesho kuikabili Coastal Union kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutokana na kukosa kibali cha kufanya kazi nchini.
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Prisons wawapania Okwi, Msuva
Kocha wa Prisons, David Mwamaja amewapa kazi maalumu mabeki wake ya kuhakikisha mawinga wa Yan
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Kocha Tanzania Prisons ajitetea
Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, David Mwamwaja amekiri vijana wake hawakucheza kwa kiwango chao katika mchezo wao dhidi ya Mgambo Shooting uliomalizika kwa sare 1-1 kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Tanzania Prisons yatolewa nishai Kyela
TIMU ya Tanzania Prisons ya jijini Mbeya inayoshiriki Ligi Kuu Bara imeadhiriwa na watoto wa mchangani katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa John Mwakangale (Shamba la Babu), uliopo kitongoji...
11 years ago
MichuziYANGA YAANZA LIGI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
Michuzi
SIMBA YAIPIGISHA KWATA TANZANIA PRISONS, YAIFUNGA 5-0



11 years ago
Michuzi15 Mar
kagera sugar yaichapa Tanzania prisons 2-1 leo bukoba
Na Faustine Ruta, Bukoba Ligi Kuu Vodacom imeendelea leo na hapa Mjini Bukoba tukishuhudia Timu ya Maafande kutoka Jijini Mbeya ikinyukwa bao 2-1 na wenyeji Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba. Kipindi cha kwanza Tanzania Prisons ndio walipata bao kupitia kwa mchezaji wao Peter Michael katika dakika ya 37 baada ya kuwachambua kama karanga mabeki wa Kagera Sugar na kuachia shuti kali na kumfunga kipa wa Kagera Sugar. Mpaka dakika za mapumziko Tanzania Prisons...
5 years ago
CCM Blog
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAPATIA 'TANZANIA PRISONS SPORTS CLUB'



Na ASP. Lucas Mboje, DodomaKATIKA kutatua changamoto ya usafiri kwa Klabu ya mpira wa miguu ya Jeshi la Magereza(Tanzania Prisons SC). Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee ameipatia Klabu hiyo Basi dogo aina ya Costa lenye thamani ya Tsh. Milioni 75 kwa ajili ya kuisafirisha Timu kwenda mikoa mbalimbali nchini.
Akizungumza katika makabidhiano ya gari hilo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania