Okwi kuikosa Coastal
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi huenda akawa mtazamaji wakati timu yake itakaposhuka uwanjani kesho kuikabili Coastal Union kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutokana na kukosa kibali cha kufanya kazi nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Okwi aumia, kuikosa Tanzania Prisons
Jinamizi la majeruhi limezidi kuiandama Simba baada ya mshambuliaji wake mahiri Emmanuel Okwi kuumia kifundo cha mguu na kuna uwezekano wa kuikosa mechi ya kesho dhidi ya Prisons.
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Chris na Moeen kuikosa Afghanistan
Wachezaji Chris Woakes na Moeen Ali wameenguliwa katika kikosi cha timu ya kriket ya England sababu ya majeruhi.
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Coutinho kuikosa Ngao ya Jamii
Kuelekea pambano la Ngao ya Jamii, kiungo mpya wa Yanga, Andrey Coutinho na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco watakosa mechi hiyo itakayopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Â
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Wanyama kuikosa safari na Southmptom
Mkenya Victor Wanyama ameikosa safari ya Ubeligiji na kikosi cha wachezaji 27 wa Southampton katika ziara ya preseason tour.
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Bocco kuikosa Mtibwa Jumamosi
Daktari wa timu ya Azam, Mwanandi Mwakemwa amesema mshambuliaji John Bocco hataweza kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na mshipa wa mguu.
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Maria Sharapova kuikosa US Open
Nyota namba tatu wa mchezo wa Tenesi duniani kwa upande wa wanawake Maria Sharapova amejitoa kushirikia michuano Us Open
10 years ago
Habarileo22 Feb
Askofu: Wanaoua albino kuikosa mbingu
WATU wanaojihusisha na mauaji ya albino kwa lengo la kusaka vyeo au utajiri, wameonywa waache tabia hiyo mara moja kwa kuwa Mungu anawaona na kuchukizwa na vitendo vyao.
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Kimwaga aumia rohoni kuikosa Stars
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Joseph Kimwaga ametoa la moyoni akisema kwamba kama kuna jambo linalomuumiza kichwa katika kazi yake ni kukosa kujumuishwa kwenye kikosi cha Taifa Stars na badala yake anageuka shabiki wa kutazama wanachokifanya wenzake.
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Asamoah Gyan kuikosa mechi na Senegal
Nahodha wa timu Ghana Asamoah Gyan anaugua maradhi yanayosemekana kuwa ni malaria na huenda asikipige na Senegal leo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania