Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bocco kuikosa Mtibwa Jumamosi

Daktari wa timu ya Azam, Mwanandi Mwakemwa amesema mshambuliaji John Bocco hataweza kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na mshipa wa mguu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMBA KUCHEZA NA MTIBWA TAIFA JUMAMOSI

Kikosi cha Simba Sc. Simba SC itacheza mchezo wa kirafiki na Mtibwa Sugar ya Morogoro siku ya Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo unakuja siku chache baada ya timu ya Simba kushika nafasi ya pili kwenye Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kufuatia kufungwa 1-0 na KCC ya Uganda Jumatatu wiki hii, Uwanja wa Amaan, Unguja.

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi kuikosa Coastal

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi huenda akawa mtazamaji wakati timu yake itakaposhuka uwanjani kesho kuikabili Coastal Union kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutokana na kukosa kibali cha kufanya kazi nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanyama kuikosa safari na Southmptom

Mkenya Victor Wanyama ameikosa safari ya Ubeligiji na kikosi cha wachezaji 27 wa Southampton katika ziara ya preseason tour.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maria Sharapova kuikosa US Open

Nyota namba tatu wa mchezo wa Tenesi duniani kwa upande wa wanawake Maria Sharapova amejitoa kushirikia michuano Us Open

 

10 years ago

BBCSwahili

Chris na Moeen kuikosa Afghanistan

Wachezaji Chris Woakes na Moeen Ali wameenguliwa katika kikosi cha timu ya kriket ya England sababu ya majeruhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Coutinho kuikosa Ngao ya Jamii

Kuelekea pambano la Ngao ya Jamii, kiungo mpya wa Yanga, Andrey Coutinho na mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco watakosa mechi hiyo itakayopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 

 

10 years ago

Mwananchi

Sakho ajuta kuikosa Afcon 2015

Mshambuliaji wa West Ham na Senegal, Diafra Sakho amesema alikuwa mwenye huzuni na hasira kutokana na taarifa zilizosambazwa kuwa atakosa fainali za Mataifa ya Afrika 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani