Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA KUCHEZA NA MTIBWA TAIFA JUMAMOSI

Kikosi cha Simba Sc. Simba SC itacheza mchezo wa kirafiki na Mtibwa Sugar ya Morogoro siku ya Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo unakuja siku chache baada ya timu ya Simba kushika nafasi ya pili kwenye Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kufuatia kufungwa 1-0 na KCC ya Uganda Jumatatu wiki hii, Uwanja wa Amaan, Unguja.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Simba yaipania Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Taifa

Baada ya kushindwa kutwaa Kombe la Mapinduzi, Simba leo itashuka uwanja wa Taifa kumenyana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki ambao kiingilio chake ni Sh5,000.

 

10 years ago

Michuzi

Simba, Kagera vita mpya Taifa jumamosi hii

Baada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, vumbi la Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimka tena kuanzia jumamosi hii kwa pambano moja litakalochezwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha timu za Simba na Kagera Sugar. Simba ambayo imelitumia vyema dirisha dogo la usajili kwa kufanya usajili wa baadhi ya nyota kuimarisha kikosi chao itaivaa Kagera ikitokea Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi yao tangu Jumapili iliyopita.
Mabingwa hao wa zamani katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Bocco kuikosa Mtibwa Jumamosi

Daktari wa timu ya Azam, Mwanandi Mwakemwa amesema mshambuliaji John Bocco hataweza kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na mshipa wa mguu.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA NA AFC LEOPARDS, KIINGILIO BURE

Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Yvonne Cherrie 'Monalisa'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula.  (Picha na Francis Dande)Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Jeniffer Kyaka 'Odama'  wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Simba Day 2015 Simba kucheza na Leopards, kiingilio bure!

SIMBA DAY 2015 Simba Kucheza na AFC Leopards, Kiingilio bure.

Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group, Imani Kajula akiwa Pamoja na Rais wa Simba Sport Club, Evans Aveva, wakati wa uzinduzi wa Simba Day.

Dhima ya Simba Sports Club ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.

Akizungumza wakati wa kutangaza rasmi Simba Week 2015 Rais wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kucheza Jumamosi kwazua mvutano Israel

Mamlaka ya soka nchini Israel imesimamisha mipango ya mgomo katika mzozo kuhusu kucheza siku ya Sabato ya Wayahudi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani