Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kucheza Jumamosi kwazua mvutano Israel

Mamlaka ya soka nchini Israel imesimamisha mipango ya mgomo katika mzozo kuhusu kucheza siku ya Sabato ya Wayahudi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SIMBA KUCHEZA NA MTIBWA TAIFA JUMAMOSI

Kikosi cha Simba Sc. Simba SC itacheza mchezo wa kirafiki na Mtibwa Sugar ya Morogoro siku ya Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo unakuja siku chache baada ya timu ya Simba kushika nafasi ya pili kwenye Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kufuatia kufungwa 1-0 na KCC ya Uganda Jumatatu wiki hii, Uwanja wa Amaan, Unguja.

 

11 years ago

Michuzi

TEAM YA VIJANA ZANZIBAR UK (UNDER 18) YAINGIA FINALI AFRICAN NATIONS CUP UK. KUCHEZA JUMAMOSI HII 14 JUNE 2014.


Vijana wetu wa Timu ya Zanzibar Wanaoshiriki Africa Nations Cup -UK wenye chini ya Umri wa miaka 18 wameingia Final Baada ya kuifunga Morocco 8-0 Jumamosi jioni. 
Final itakuwa Saturday, 14th June, 2014 @3.00pm. Barking FC Arena, Mayesbrook Park, Lodge Avenue, RM8 2JR - UK. 
Ticket zinauzwa £5 Adult na £2 kwa watoto kwa maelezo Wasiliana na DJ Ommy kwa number +44 7427 447902 na Jestina George +44 7557 304940

TUNAWAOMBA TUJITOKEZEE KWA WINGI KUWASUPPORT

 

9 years ago

Michuzi

BUKOBA VETERAN KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI KESHO JUMAMOSI 17.10.2015 NA BUSWELU VETERAN

Bukoba Veteran kucheza mchezo wa Kirafiki kesho jumamosi 17.10.2015 kwenye Uwanja wa shule ya seminari ya Ntungamo Bukoba na Timu ya Buswelu Veteran kutoka Jijini Mwanza. Mtandao wa Bukobasports.com ukiongea na Nahodha wa Timu hiyo Kepteni Mwinyi Rajab umeelezwa kwamba mpambano huo wa kirafiki utapigwa kesho jioni na amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Viwanja hivyo. Pia ameweza kuongeza kuwa kutapigwa mtanange mwingine wa kirafiki utaochezwa kesho yake jumapili 18.10.2015...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfaransa Sean Garnier aja Tanzania kuonyesha umahiri wa kucheza mpira wa mtaani huku akibinuka sarakasi na kucheza dansi

Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohan’s John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.

Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya...

 

11 years ago

GPL

MFARANSA SEAN GARNIER AJA TANZANIA KUONYESHA UMAHIRI WA KUCHEZA MPIRA WA MTAANI HUKU AKIBINUKA SARAKASI NA KUCHEZA DANSI‏

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn's John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.…

 

10 years ago

Mwananchi

Kufunguliwa kwa Soko Kuu Moshi kwazua utata

Meya wa Mji wa Moshi, Jaffar Michael amesema kufungwa kwa Soko Kuu la Kati mjini Moshi na kufunguliwa kwa amri ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ni sinema ya kisiasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco kununua nguzo Afrika Kusini kwazua maswali nchini

Rais John Magufuli ameombwa kuzuia uagizaji wa nguzo za umeme kutoka Afrika Kusini kunakofanywa na Shirika la Umeme (Tanesco) kupitia wazabuni ili kunusuru mamilioni ya fedha za kigeni.

 

9 years ago

Michuzi

Kujengwa kwenye hifadhi ya Bahari Golden Tulip kwazua maswali ya sheria ya mita 60

Kumekuwa na sheria na kanuni mbalimbali zinazoundwa, ingawa wakati mwingine hushindwa kutekelezeka kwa wakati. Ukifika katika hoteli ya Golden Tulip utakuta jinsi eneo hilo linavyozidi kujengwa na kuendelezwa kama lilivyokutwa na mpiga picha wetu. Kujengwa kwa eneo hili lililokuwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi ni kinyume cha sheria ya Hifadhi ya Bahari. Tumeshuhudia maeneo mengi yakivunjwa kwa nyumba zao baada ya kubainika yamejengwa katika hifadhi ya bahari. Haijafahamikaa mara moja kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani