Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TEAM YA VIJANA ZANZIBAR UK (UNDER 18) YAINGIA FINALI AFRICAN NATIONS CUP UK. KUCHEZA JUMAMOSI HII 14 JUNE 2014.


Vijana wetu wa Timu ya Zanzibar Wanaoshiriki Africa Nations Cup -UK wenye chini ya Umri wa miaka 18 wameingia Final Baada ya kuifunga Morocco 8-0 Jumamosi jioni. 
Final itakuwa Saturday, 14th June, 2014 @3.00pm. Barking FC Arena, Mayesbrook Park, Lodge Avenue, RM8 2JR - UK. 
Ticket zinauzwa £5 Adult na £2 kwa watoto kwa maelezo Wasiliana na DJ Ommy kwa number +44 7427 447902 na Jestina George +44 7557 304940

TUNAWAOMBA TUJITOKEZEE KWA WINGI KUWASUPPORT

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii

Member wa kundi la miaka ya 90 Fugees, Wyclef Jean anatarajiwa kuwa nchini Kenya weekend hii, ambapo atatumbuiza kwenye jukwaa moja na wasanii wengine wa Africa akiwemo Shaa kutoka Tanzania, katika fainali za msimu wa pili wa Coke Studio Africa. Wasanii wengine wa Afrika watakaotumbuiza kwenye fainali hizo ni pamoja na Chidinma wa Nigeria, Navio […]

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.

Balozi Peter Kallaghe leo amekutana na Uongozi na Team Captains wa timu inayowakilisha Tanzania katika Mashindano ya African Nations Cup UK 2014.  Mashindano hayo yanategemewa kuanza Kesho katika Viwanja vya WESTHAM MEMORIAL GROUNDS. MEMORIAL AVENUE E15 3BD.   WATANZANIA WOTE MNAOISHI UINGEREZA HUSUSAN MAENEO YA LONDON NA VITONGOJI VYAKE MNAOMBWA MJITOKEZE KWA WINGI KUISHANGILIA TIMU YETU. RATIBA KAMILI YA MECHI ZOTE NI KAMA ILIVYOAMBATANISHWA.   Kituo cha Karibu ni WESTHAM STATION iliyoko...

 

10 years ago

BBC

Guinea reject a June 2023 Nations Cup

Hosts Guinea rule out switching the 2023 Africa Nations Cup to June to accommodate the Qatar World Cup, according to their sports minister.

 

10 years ago

Bongo5

Tuzo za CNN MultiChoice African Journalist 2014 kutolewa Dar Jumamosi hii

Tuzo za CNN MultiChoice African Journalist 2014 zitatolewa Jumamosi hii, October 18 jijini Dar es Salaam. Shindano hilo ni la 19 mwaka huu. Mtangazaji wa CNN International Isha Sesay, atakuwa host wa tuzo hizo. Waandishi waliongia fainali ni pamoja: Daniel Biaou Adje, ORTB, Benin Safia Berkouk, El Watan, Algeria Vinayak Bhardwaj & Tabelo Timse, M&G […]

 

10 years ago

BBC

VIDEO: How African is Cup of Nations?

Satirist asks why African teams prefer local coaches

 

10 years ago

TheCitizen

Zanzibar team sets sights on Taifa Cup

 Zanzibar combined team is among outfits expected to compete in the Taifa Cup netball Championship scheduled for next month, the National Netball Association (Chaneta) revealed yesterday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani