Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prisons wawapania Okwi, Msuva

Kocha wa Prisons, David Mwamaja amewapa kazi maalumu mabeki wake ya kuhakikisha mawinga wa Yan

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Kasi ya Msuva, Coutinho yamtia presha Okwi

Mchezaji wa Yanga, Simon Msuva. Na Sweetbert Lukonge
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, hivi sasa ni mwenye mawazo mengi kila anapofikiria kasi ya wachezaji wawili  wa Yanga, Andrey Coutinho na Simon Msuva kabla ya timu hizo mbili kuonyeshana ubabe Oktoba 18, mwaka huu. Okwi amekumbwa na hali hiyo kutokana na kukosa imani na safu ya ulinzi ya timu yake ambayo imeonyesha kutokuwa imara katika mechi zake za...

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi aumia, kuikosa Tanzania Prisons

Jinamizi la majeruhi limezidi kuiandama Simba baada ya mshambuliaji wake mahiri Emmanuel Okwi kuumia kifundo cha mguu na kuna uwezekano wa kuikosa mechi ya kesho dhidi ya Prisons.

 

10 years ago

Vijimambo

CUF wawapania CCM Ruangwa.

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF, Abdul Kambaya.
Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wamechoshwa na uongo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamedai kuwa miaka 53 ya uhuru wameshindwa kuwajengea barabara kuu ya wilaya hiyo kwa kiwango cha lami na fimbo watakayotumia ni kukiadhibu ni kukinyima kura Oktoba, mwaka huu.

Wakizungumza katika mikutao ya hadhara ya Chama cha Wananchi (CUF) katika maeneo mbalimbali ikiwamo Kata ya Nandagala, kuhamasisha wanachama na wananchi kujiandikisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Msuva hakamatiki 2015

Dar es Salaam. Ni nani kama Msuva? Jina hilo, Simon Happygod Msuva si geni katika medani ya michezo nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga wamchanganya Msuva


Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani. 
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...

 

9 years ago

Habarileo

Msuva matumaini kibao

MFUNGAJI bora wa msimu uliopita wa ligi kuu bara, Simon Msuva amesema kuanzia benchi katika mechi tatu zilizopita hakumtii hofu ya kupoteza nafasi yake ya kuitumikia Yanga.

 

9 years ago

TheCitizen

Msuva: Professionalism comes naturally

Dar es Salaam Young Africans ace striker Simon Msuva has said that he will not rush to turn professional, instead, he will do so when the time comes.

 

10 years ago

TheCitizen

Msuva named best VPL player

Dar es Salaam. Young Africans forward took home a total of Sh11.4m following his big win at the Tanzania Football Federation (TFF) awards ceremony.

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe amtia presha Msuva

Dar es Salaam. Ni dhahiri sasa mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amemkaba kooni kiasi cha kumtia presha mwenzake, Simon Msuva katika vita ya kuwania tuzo ya ufungaji bora msimu huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani