Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga wamchanganya Msuva


Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani. 
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Pluijm ambakisha Msuva Yanga

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amembakisha winga Simon Msuva kwenye timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi, ili kumtengeneza vyema kabla ya kutimkia Afrika Kusini.
Wiki iliyopita Msuva alikwenda kufanya majaribio katika timu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, ambapo baada ya kurejea nchini ilielezwa amefaulu majaribio hayo.
Pluijm, aliyeongozana na Meneja wa timu hiyo, Hafidh Saleh, walifanya ziara maalumu kwenye Ofisi za Kampuni ya New Habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiwango champoteza Msuva Yanga

Ni nini kinachomsumbua Simon Msuva? Hili ni swali ambalo wadau wa soka nchini wanajiuliza.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Simon Msuva aiangukia Yanga

>Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amereja nchini akitokea Afrika Kusini kufanya majaribio ya soka la kulipwa na amewaangukia viongozi wake kutofanya makosa ya kuzuia uhamisho wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Msuva: Nikitoka Yanga naenda Ureno

Siku za hivi karibuni, winga mwenye kasi kwenye timu ya Yanga, Simon Msuva amekuwa gumzo kwa mashabiki wa klabu hiyo na wamejenga imani kubwa kwake.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yaichokoza Yanga kwa Msuva

Wakati uongozi wa klabu ya Simba ukimwongezea mkataba kiungo wao, Jonas Mkude aliyekuwa akitakiwa na watani wao, Yanga, Wekundu wa Msimbazi wameichokonoa Yanga.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba SC test Yanga resolve over Msuva

Simba SC are considering to raid Young Africans for the signature of striker Simon Msuva, a move that must send ripples of shock to the Jangwani Street giants.

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA NA MSUVA NI NDOA YENYE NEEMA


Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva 
Ukiangalia kwa undani unaweza kuhisi kuwa Yanga imeamua kufanya hivyo kama njia ya kuhakikisha Msuva hawaponyoki, hasa baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba watani zao Simba wanamwinda mchezaji huyo usiku na mchana ili kumweka chini ya himaya yao.ILICHOKIFANYA Yanga sasa ni sifa wala si kitu kingine. Unajua kwa nini? Siku chache baada winga wake Simon Msuva kunyakua tuzo mbili za Mfungaji Bora na Mchezaji Bora kisha kuvuta mkwanja wa Sh11.4 milioni kwa ushindi...

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga: Msuva atauzwa nje ya nchi


Baada ya klabu mbili za ligi kuu ya Bara wakiwemo watani wa jadi Simba kutangaza kumuhitaji winga hatari Simon Msuva, Yanga imesema mchezaji wake huyo ni wa hadhi ya kuuzwa nje ya nchi tu kama timu hiyo itaamua kufanya hivyo.
Simba imetangaza kumuhitaji winga huyo ambaye ameonyesha kiwango cha juu tangu mwaka jana huku akionekana kuwa mkombozi wa Yanga msimu huu.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, kocha msaidizi wa Yanga Salvatory Edwarad alisema hawafikirii kumuuza Msuva kwa kuwa ni...

 

10 years ago

Mtanzania

Yanga yazima ndoto za Msuva Sauzi

msuvaNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
NDOTO za mshambuliaji wa timu ya Yanga na mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Simon Msuva kucheza soka la kulipwa katika timu ya Bidvest Wits nchini Afrika Kusini zimefutika, baada ya uongozi wa Wanajangwani hao kumzuia mchezaji huyo kuondoka.
Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa klabu hiyo zililieleza MTANZANIA jana kuwa, maamuzi hayo yalitolewa katika kikao kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Chanzo hicho kilisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani