YANGA NA MSUVA NI NDOA YENYE NEEMA
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva
Ukiangalia kwa undani unaweza kuhisi kuwa Yanga imeamua kufanya hivyo kama njia ya kuhakikisha Msuva hawaponyoki, hasa baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba watani zao Simba wanamwinda mchezaji huyo usiku na mchana ili kumweka chini ya himaya yao.ILICHOKIFANYA Yanga sasa ni sifa wala si kitu kingine. Unajua kwa nini? Siku chache baada winga wake Simon Msuva kunyakua tuzo mbili za Mfungaji Bora na Mchezaji Bora kisha kuvuta mkwanja wa Sh11.4 milioni kwa ushindi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Mr. Blue: Ndoa ina neema katika muziki
NA THERESIA GASPER
MSANII wa kizazi kipya nchini, Khery Sameer ‘Mr Blue’, amewaeleza wasanii wenzake ambao hawajaolewa na wale wasiooa kwamba ndoa ina neema kubwa kimuziki hivyo watimize jambo hilo mapema.
“Inasikitisha vijana wengi wake kwa waume waliofikisha umri wa kuoa na wale wa kuolewa wanakwepa kutimiza ndoa wakihofu kupotea kimuziki lakini nawaeleza kwamba ndoa ina uhusiano mzuri na mafanikio ndiyo maana wengi waliooana wanafanya vizuri katika mambo yao,” alieleza Mr...
10 years ago
Vijimambo15 Apr
Yanga wamchanganya Msuva
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2685162/highRes/991420/-/maxw/600/-/ga0tf2/-/msuva+picha.jpg)
Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani.
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Kiwango champoteza Msuva Yanga
10 years ago
Mtanzania16 May
Pluijm ambakisha Msuva Yanga
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amembakisha winga Simon Msuva kwenye timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi, ili kumtengeneza vyema kabla ya kutimkia Afrika Kusini.
Wiki iliyopita Msuva alikwenda kufanya majaribio katika timu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, ambapo baada ya kurejea nchini ilielezwa amefaulu majaribio hayo.
Pluijm, aliyeongozana na Meneja wa timu hiyo, Hafidh Saleh, walifanya ziara maalumu kwenye Ofisi za Kampuni ya New Habari...
10 years ago
TheCitizen13 Nov
Simba SC test Yanga resolve over Msuva
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Simba yaichokoza Yanga kwa Msuva
10 years ago
Mwananchi11 May
USAJILI: Simon Msuva aiangukia Yanga
10 years ago
Mtanzania15 May
Yanga yazima ndoto za Msuva Sauzi
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
NDOTO za mshambuliaji wa timu ya Yanga na mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Simon Msuva kucheza soka la kulipwa katika timu ya Bidvest Wits nchini Afrika Kusini zimefutika, baada ya uongozi wa Wanajangwani hao kumzuia mchezaji huyo kuondoka.
Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa klabu hiyo zililieleza MTANZANIA jana kuwa, maamuzi hayo yalitolewa katika kikao kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Chanzo hicho kilisema...
10 years ago
Vijimambo19 Nov
Yanga: Msuva atauzwa nje ya nchi
![](https://scontent-b-ams.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/10451055_809256089117968_7339685059345490383_n.jpg?oh=e20b028a2c313006000f6f03a74bf8e9&oe=55130FFF)
Baada ya klabu mbili za ligi kuu ya Bara wakiwemo watani wa jadi Simba kutangaza kumuhitaji winga hatari Simon Msuva, Yanga imesema mchezaji wake huyo ni wa hadhi ya kuuzwa nje ya nchi tu kama timu hiyo itaamua kufanya hivyo.
Simba imetangaza kumuhitaji winga huyo ambaye ameonyesha kiwango cha juu tangu mwaka jana huku akionekana kuwa mkombozi wa Yanga msimu huu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, kocha msaidizi wa Yanga Salvatory Edwarad alisema hawafikirii kumuuza Msuva kwa kuwa ni...