Yanga yazima ndoto za Msuva Sauzi
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
NDOTO za mshambuliaji wa timu ya Yanga na mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Simon Msuva kucheza soka la kulipwa katika timu ya Bidvest Wits nchini Afrika Kusini zimefutika, baada ya uongozi wa Wanajangwani hao kumzuia mchezaji huyo kuondoka.
Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa klabu hiyo zililieleza MTANZANIA jana kuwa, maamuzi hayo yalitolewa katika kikao kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Chanzo hicho kilisema...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Al Ahly yazima ndoto za Yanga
10 years ago
Mtanzania11 May
SAKATA LA MSUVA KUTIMKIA SAUZI ;Yanga yaishtaki Bidvest
ABDUCADO EMMANUEL, DAR NA MICHAEL MAURUS, MTWARA
SAKATA la winga wa timu ya Yanga, Simon Msuva kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini kwenye timu ya Bidvest Wits bila ruhusa ya uongozi wake, limechukua sura mpya baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom kuishtaki timu hiyo kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Msuva aliyerejea nchini juzi baada ya kumaliza majaribio hayo na kudaiwa kufanya vizuri, alitorokea nchini humo Jumatatu iliyopita usiku bila kuafikiana na uongozi wa...
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Ngasa atimkia Sauzi, Yanga yamsubiri
10 years ago
Vijimambo15 Apr
Yanga wamchanganya Msuva
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2685162/highRes/991420/-/maxw/600/-/ga0tf2/-/msuva+picha.jpg)
Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani.
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Ivo ajifua Sauzi, ulinzi wa Yanga usipime
10 years ago
Mtanzania16 May
Pluijm ambakisha Msuva Yanga
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, amembakisha winga Simon Msuva kwenye timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi, ili kumtengeneza vyema kabla ya kutimkia Afrika Kusini.
Wiki iliyopita Msuva alikwenda kufanya majaribio katika timu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, ambapo baada ya kurejea nchini ilielezwa amefaulu majaribio hayo.
Pluijm, aliyeongozana na Meneja wa timu hiyo, Hafidh Saleh, walifanya ziara maalumu kwenye Ofisi za Kampuni ya New Habari...
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Kiwango champoteza Msuva Yanga
10 years ago
Mwananchi13 May
USAJILI: Ngassa yametimia Sauzi, Yanga kusajili 11 wapya
10 years ago
Vijimambo19 Nov
Yanga: Msuva atauzwa nje ya nchi
![](https://scontent-b-ams.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/10451055_809256089117968_7339685059345490383_n.jpg?oh=e20b028a2c313006000f6f03a74bf8e9&oe=55130FFF)
Baada ya klabu mbili za ligi kuu ya Bara wakiwemo watani wa jadi Simba kutangaza kumuhitaji winga hatari Simon Msuva, Yanga imesema mchezaji wake huyo ni wa hadhi ya kuuzwa nje ya nchi tu kama timu hiyo itaamua kufanya hivyo.
Simba imetangaza kumuhitaji winga huyo ambaye ameonyesha kiwango cha juu tangu mwaka jana huku akionekana kuwa mkombozi wa Yanga msimu huu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, kocha msaidizi wa Yanga Salvatory Edwarad alisema hawafikirii kumuuza Msuva kwa kuwa ni...