Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngasa atimkia Sauzi, Yanga yamsubiri

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa amelizua jipya baada ya kubainika kuikimbia timu hiyo na kwenda Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu moja ya huko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALIYEPIGWA NA CHID ATIMKIA SAUZI

Stori: Haruni Sanchawa MSICHANA aliyewahi kupigwa na msanii wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Mwanaisha Sued ‘Aisha’ ametimkia nchini Afrika Kusini kuishi kwa muda. Mkali wa Hip Hop Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Paparazi wetu alitia timu nyumbani kwa binti huyo Ilala-Bungoni, jijini Dar ili kujua maendeleo yake ambapo mdogo wa Asha ambaye hakutaka jina lake lichorwe...

 

10 years ago

Mwananchi

Usajili wa Ngasa gumzo Sauzi

Dar es Salaam. Usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania,  Mrisho Ngassa kujiunga na klabu ya Free State Stars kwa mkataba wa miaka minne umezua gumzo nchini Afrika Kusini.

 

10 years ago

Vijimambo

Ngasa aaga Yanga.


Winga hatari wa Yanga na Taifa Stars, Mrisho Ngasa, amewaaga na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumpa sapoti katika kipindi chote alichokaa kwenye klabu hiyo ya Jangwani. 
Ngasa, mfungaji bora wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika mwaka jana na mfungaji bora wa Yanga msimu uliopita, mwishoni mwa wiki alikisaidia kikosi cha wanajangwani kupata ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika mechi hiyo ya hatua ya kwanza ya michuano ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga kumlipia Ngasa deni

Yanga imeona hatari ya kumpoteza winga Mrisho Ngasa ambaye ameashiria kwamba ataondoka Jangwani baada ya mkataba wake uliobaki miezi mitano kumalizika na imeamua kumlipia deni lake la benki linalomuelemea -- kwa masharti maalum.

Ngasa alilazimika kukopa fedha benki baada ya kuamriwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuilipa Simba Sh. milioni 45 alizochukua ili ajiunge nayo lakini akaikacha na kutua Yanga. Kamati hiyo pia ilimfungia mechi sita za awali za Ligi Kuu ya Tanzania Bara...

 

10 years ago

TheCitizen

Ngasa here to stay, say giants Yanga

Young Africans leadership wants Mrisho Ngasa to put his overseas ambitions on hold and sign a new contract with the Jangwani Street team.

 

11 years ago

GPL

Beki Yanga atimkia Afrika Kusini

Beki wa kati wa Yanga mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir. Na Wilbert Molandi
PIGO jingine Yanga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kutamka kwa beki wa kati mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir kuitwa kwenye majaribio ya kucheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Bloemfontein Celtic inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini ‘Sauz’.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngasa aomba Yanga imlipie deni

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, ameombakumlipiwa deni analodaiwa benki ili aweze kucheza kwa bidii na kuwa mfungaji bora.

 

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga yakubali kumuuza Ngasa

>Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa ruksa kwa klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini kufanya mazungumzo kama wanataka kumsajili mchezaji wao nyota, Mrisho Ngasa.

 

11 years ago

Mwananchi

MAJARIBIO YA NGASA: Yanga: TFF inatuhujumu

Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linahusika katika hujuma ya kumpeleka mchezaji wao, Mrisho Ngassa kwenda kufanya majaribio na timu ya Free State Stars Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani