Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJARIBIO YA NGASA: Yanga: TFF inatuhujumu

Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linahusika katika hujuma ya kumpeleka mchezaji wao, Mrisho Ngassa kwenda kufanya majaribio na timu ya Free State Stars Afrika Kusini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Ngasa aaga Yanga.


Winga hatari wa Yanga na Taifa Stars, Mrisho Ngasa, amewaaga na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumpa sapoti katika kipindi chote alichokaa kwenye klabu hiyo ya Jangwani. 
Ngasa, mfungaji bora wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika mwaka jana na mfungaji bora wa Yanga msimu uliopita, mwishoni mwa wiki alikisaidia kikosi cha wanajangwani kupata ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika mechi hiyo ya hatua ya kwanza ya michuano ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga kumlipia Ngasa deni

Yanga imeona hatari ya kumpoteza winga Mrisho Ngasa ambaye ameashiria kwamba ataondoka Jangwani baada ya mkataba wake uliobaki miezi mitano kumalizika na imeamua kumlipia deni lake la benki linalomuelemea -- kwa masharti maalum.

Ngasa alilazimika kukopa fedha benki baada ya kuamriwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuilipa Simba Sh. milioni 45 alizochukua ili ajiunge nayo lakini akaikacha na kutua Yanga. Kamati hiyo pia ilimfungia mechi sita za awali za Ligi Kuu ya Tanzania Bara...

 

10 years ago

TheCitizen

Ngasa here to stay, say giants Yanga

Young Africans leadership wants Mrisho Ngasa to put his overseas ambitions on hold and sign a new contract with the Jangwani Street team.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngasa atimkia Sauzi, Yanga yamsubiri

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa amelizua jipya baada ya kubainika kuikimbia timu hiyo na kwenda Afrika Kusini kufanya majaribio katika klabu moja ya huko.

 

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga yakubali kumuuza Ngasa

>Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa ruksa kwa klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini kufanya mazungumzo kama wanataka kumsajili mchezaji wao nyota, Mrisho Ngasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ngasa aomba Yanga imlipie deni

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, ameombakumlipiwa deni analodaiwa benki ili aweze kucheza kwa bidii na kuwa mfungaji bora.

 

10 years ago

CloudsFM

Yanga kulipa deni la Ngasa kwa masharti

HATIMAYE Klabu ya Yanga imekubali kulipa deni analodaiwa mchezaji wao, Mrisho Ngassa na klabu ya Simba, kwa masharti iwapo tu atakubaliana nao katika baadhi ya mambo likiwamo la mkataba au jambo lingine lolote.

Aidha, Ngassa ameahidi kucheza kwa kiwango katika michuano ya ligi na ya kimataifa na kuwa mchezaji bora iwapo tu uongozi wa klabu hiyo utamsaidia kulipa deni hilo kama ulivyoahidi.

Katika msimu wa 2013/2014, Ngassa alijiunga na Yanga akitokea Simba alikokuwa akicheza kwa mkopo akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani